Kwa mkopo kutoka China I can agree with you,mtungi tunajua unachanja mbugaMombasa ina SGR inayofanya kazi. Dar slum haina Sgr inayofanya kazi
Hongereni sana,Mbona basi asidesign mazuri kama haya uko kwenu?Mchoraji wa hili jengo ni Mkenya.
😂😂😂😂😂Hongereni sana,Mbona basi asidesign mazuri kama haya uko kwenu?
Sisi tuna architects wengi. HatumuhitajiHongereni sana,Mbona basi asidesign mazuri kama haya uko kwenu?
Porojo sasa izo,wap hawapoSisi tuna architects wengi. Hatumuhitaji
Nawashangaa sana wajua, yani hamjui pia km kuna neno subutuThubutu


Copycat architectsSisi tuna architects wengi. Hatumuhitaji
You mean upgraded mgrMombasa ina SGR inayofanya kazi. Dar slum haina Sgr inayofanya kazi



Ulishaathirika buda, kila unaemuona unadhani ni mwanasiasa. utapata tabu sanaKalambe lolo la maccm wenzio huko wewe paka shume ili upate ku survive mjini
Halafu watakuambia wanatuzidi kwenye uzalishaji wa maziwa pia 🚮🚮🚮🚮Kuna jamaa amenibishia humu kwamba,Kenya meat commission ndio kubwa,baada ya kumdhibitishia,amepotea, yaani,Athi river na Mombasa plants,Inachinja na kuchakata ngo'ombe,mbuzi na kondoo 3,250 tu kwa siku,wakati yetu ya TZ ni 5,500 kwa siku kwa aina ya mifugo yote!
Obviously Kenya ni ya kwanza Afrika kwenye uzalishaji wa maziwa. Lia kabisaHalafu watakuambia wanatuzidi kwenye uzalishaji wa maziwa pia 🚮🚮🚮🚮
🚮🚮🚮🚮Obviously Kenya ni ya kwanza Afrika kwenye uzalishaji wa maziwa. Lia kabisa
Tujiulize hv hii reli kwa miaka yote 20 ambayo haikua ikifanya kazi tumepoteza kiasi gani!!Sawa imefufuliwa ni jambo la kheri ufanisi wake Ni kitu cha kulindwa sana,Tusiwe watu tunaoharibu alafu tukirekebisha tunajipongeza tena kama mazuzu