Nairobi na Kenya at large nyie ni big boy kubaki mnabishana na watu ambao ndio kwaanza wanatambaa ni ujinga,imagine ndio kwanza flyover zinaingia dar 2020..Miradi kama hii labda 2050 huku ndio Tzn inaweza pataSomebody said this project will never happen.
We always scratch beyond Tanzanian understanding.
The Nairobi Express way links two other projects that are at advanced stage.
See map
View attachment 1528628
1. Dualing of Mombasa Road. About 80% done.
View attachment 1528627
2. James Gichuru to Rironi. Hii stretch inaanza vijijini kule Kamandura Limuru hadi Westlands ambapo inameet The Nairobi Express way.
View attachment 1528652
3. Katika ya hizo project mbili is The Nairobi Express way.
A. Construction timeline.
View attachment 1528662
B. Interchanges
View attachment 1528664
C. Lanes
View attachment 1528666
D. Elevated sections
View attachment 1528669
E. Construction update
View attachment 1528670View attachment 1528672View attachment 1528673View attachment 1528675View attachment 1528679View attachment 1528681
Wanaigwaya au wanaongea ukweli? Tzn hii bado saaana kuilinganisha na Kenya kwenye kila kitu licha ya kujitutumua huko,si viwanda wala elimu,si teknologia wala housing na ustaarabu,ukija kwenye bussiness agressiveness ndio kabisaa bado tunategemea serikali na masoko ya ndaniIla tuna watu wana uelewa mdogo saana,ukiangalia coments za hiyo tweet utaona bado kuna wimbi la wajinga humu nchini bado wanaigwaya Kunya...ila uyo alopost kaiweka sawa saana.
naona umeongea kwa hisia na hasira nyingi 😂😂😂😂 mpaka nimekuonea hurumaNairobi na Kenya at large nyie ni big boy kubaki mnabishana na watu ambao ndio kwaanza wanatambaa ni ujinga,imagine ndio kwanza flyover zinaingia dar 2020..Miradi kama hii labda 2050 huku ndio Tzn inaweza pata
Hahahahaha, kweli ujinga ni mbaya. Lakini sikulaumu. Maana Tanzania bado hamjajua maana ya City Square, City Centre, CBD, ETC. Hayo bado mageni kwenu.Is this a square or a parking lot? 😂😂😂
asante kwa taarifaWanaigwaya au wanaongea ukweli? Tzn hii bado saaana kuilinganisha na Kenya kwenye kila kitu licha ya kujitutumua huko,si viwanda wala elimu,si teknologia wala housing na ustaarabu,ukija kwenye bussiness agressiveness ndio kabisaa bado tunategemea serikali na masoko ya ndani


Usijidanganye! Ninafahamu Maana ya city square na Ndio Maana ninakuuliza Kama hiyo ni city square au parking lot.Hahahahaha, kweli ujinga ni mbaya. Lakini sikulaumu. Maana Tanzania bado hamjajua maana ya City Square, City Centre, CBD, ETC. Hayo bado mageni kwenu.
Hapo ndio umejibu au unatuonyesha ujinga zaidiHahahahaha, kweli ujinga ni mbaya. Lakini sikulaumu. Maana Tanzania bado hamjajua maana ya City Square, City Centre, CBD, ETC. Hayo bado mageni kwenu.