Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inaitwa downtown Nairobi hio ambazo ni sawa na CBD ya Dark est Sluum.
Hujawai kuweka kitu kikaelewek....ivi hiii uchafu ambayo Tandale ina afadhali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mara 10 nikae mogadishu nijue moja sio kwenye huu uozoo
Screenshot_20200810-011240.jpg
Screenshot_20200810-011240.jpg
JamiiForums2081642472.jpg
Screenshot_20200802-204020.jpg
 
Mwambie akuonyeshe Mombasa airport AU anyother infrastructure ya maana kama hiiView attachment 1533701View attachment 1533702View attachment 1533704
Mtu kasha jitoa akili hata haja ya kumuliz ni kupoteza mudaa......chizi anacheza n wezake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mombasa ni kasehem kwa dar....sasa wanaiaminia sna nairobary vile wanaiona inachakazwa ndio wanaumia na kuanzish mada uchwara kudevide attantion....kunya yote niushuzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
2464946_94F43CCC-158C-4153-9B04-CECC7B1E6F81.jpg
JamiiForums317525115.jpg
 
Mbali ya kujenga SGR ziko reli kadhaa zinazoanzia hapa Dar kwenda maeneo mbalimbali na zinafanya kazi,Reli ya DAR -Arusha 600+km ,Tazara DAR -Kapirimposhi Zambia 1880Km, Dar-Kigoma km 1000+km
Handling less then half cargo What Port of Mombasa handles in a year 😉
Dar es Sluum vs Mombasa
 
Back
Top Bottom