Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa subutu ya nini wakat unajua tuko vizuri
JamiiForums1315772537.jpg
JamiiForums712702419.jpg
JamiiForums-774465044.jpg
 
Vipaumbele vya JPM na Kikwete ni tofauti Sana, JPM amepeleka pesa za uwekezaji katika viwanda badala ya kujenga majumba marefu ambayo mchango wake katika kutoa ajira ni mdogo Sana, jaribu kufikiria jinsi kiwanda cha ngozi cha gereza la Karanga Moshi kitakavyotengeneza ajira kwa na ulinganishe na jengo la mzizima.
Miaka mingapi mnajengaga hicho kiwanda? afu hiyo ni kazi ya sekta binafsi sio sekta ya umma au mashirika na taasisi zake,hicho nacho kitajifia kama bora and the likes vilivyokuwa vya umma..Huu ni muendelezo wa matumizi mabaya ya rasilimali
 
Ndio sababu kila mtu ana akili zake, Magufuli ameonelea kufufua viwanda vyote vilivyoanzishwa na Nyerere na vile vilivyobinafsishwa lakini havikufanya vizuri vikiwa mikononi mwa sector binafsi kama TRC naeTTCL ili kutengeneza ajira na kuongeza ufanisi.

Wewe mtazamo wako ni tofauti na yeye, una haki ya kupinga kulingana na mtazamo wako, ila kwa sasa hivi aliyepo madarakani ni yeye, wewe haki yako ni kutoa maoni yako tu, sio zaidi ya hapo.
 
Ila huyu zwazwa hana haki ya kupinga
 
Back
Top Bottom