Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani uko na wenge sana ww ....swala la kuwa na street vendors Dar siyo shida ila kwamaeneo nliy post hakukuwa na hao street venders...acha ujinga hapo kwenu ndio hayari tupu...pimbi wewe....kusu watu kujaa kweny BRT ni kawaid hasa mda wa peakhours(rush time) kwani nyie mko sayari gani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...nenda hata Japan utaelew....View attachment 1532067View attachment 1532068
Umeleta picha ya watu wanaahuka[emoji23][emoji23]
 
Umeleta picha ya watu wanaahuka[emoji23][emoji23]
Vipi na hao askari wameajiriwa kuwa panga watu ......utashanga mengi ni kawaida
Screenshot_20200809-142020.jpg
 
Hii ni too much bana, europe watu hata wakijaa sana mida ya rush utakuta kila mtu yupo katika space yake poa na amesimama, wala sio kunukishana vikwapa..
Jamaa mpka handle zimeisha wanashika chuma bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
20200809_162144.jpg
 
Hii ni too much bana, europe watu hata wakijaa sana mida ya rush utakuta kila mtu yupo katika space yake poa na amesimama, wala sio kunukishana vikwapa..
Jamaa mpka handle zimeisha wanashika chuma bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1532163
Kubishana n mtu anae toka kweny poor form of public transport nikupoteza mdaa
 
Back
Top Bottom