Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Thats how they adress there desparation toward Tz...Surprisingly, whatever happens to them or against them, they benchmark with Tanzania!

Thats how they adress there desparation toward Tz...Surprisingly, whatever happens to them or against them, they benchmark with Tanzania!

nilitaka unijibu kwa kingireza, kumbe bado uko chini sana, magu awasaidieNimechukua muda? 😂😂😂😂😂 naongea kiingereza kama niongeavyo Kiswahili. Sio tatizo kwangu kabisa. Anyways....hauna jibu la muhimu so dawa imekuingia vilivyo. Pole kwako.
It is apparent now. Not only are you mentally incompetent, you are also disgustingly shallow. You will not waste any more of my time.nilitaka unijibu kwa kingireza, kumbe bado uko chini sana, magu awasaidie
Guys look at this,this is down town Nairobi I got this somewhere in YouTube,...ndugu zangu watanzania mcheki hio video then Bila unafiki tutoe marks

Watu tunakaba hadi lane za magari on different Direction.
lakini enyewe mazee tuache unafiki, haka kamji kako hovyoo.

Guys. Nimerudi sasa humu.
Tangu tuanze kupambana na hawa jamaa. Naona sasa wamelegea.
Nimekaa huko kwa muda. Nimeyaona mengi na kuyajua. Tumewapita mbali sana. Wakenya wanashida mno.
mbaya zaid jana rais wao katoa BOKO lingine kuhusu covid 19,anasema wakenya sasa wajiachie.

Hongera mkuu kwakuanzisha uzi wakuwatoa ujinga hawa makanjanjaGuys. Nimerudi sasa humu.
Tangu tuanze kupambana na hawa jamaa. Naona sasa wamelegea.
Nimekaa huko kwa muda. Nimeyaona mengi na kuyajua. Tumewapita mbali sana. Wakenya wanashida mno.

welcome backNi wapi Dar nyaya za stima zimezikwa ardhini? Ama hii ndio chuki?Spider web haijaacha ilo jengo salama....manyaya yametapakaa utazani ujenzi unaendelea.
KaribuGuys. Nimerudi sasa humu.
Tangu tuanze kupambana na hawa jamaa. Naona sasa wamelegea.
Nimekaa huko kwa muda. Nimeyaona mengi na kuyajua. Tumewapita mbali sana. Wakenya wanashida mno.
Karibu mkuu,tunakupongeza kwa Uzi huu,umetufumbua macho sana.umetusaidia kuondoa dhana tuliokuwa tunaaminishwa kwamba Hawa jamaa wako juu kutuliko,heko Sana na karibu tena!Guys. Nimerudi sasa humu.
Tangu tuanze kupambana na hawa jamaa. Naona sasa wamelegea.
Nimekaa huko kwa muda. Nimeyaona mengi na kuyajua. Tumewapita mbali sana. Wakenya wanashida mno.
Mkuu achana na hao njaa kali, hawajui kwao Kiingereza ni mafanikio.It is apparent now. Not only are you mentally incompetent, you are also disgustingly shallow. You will not waste any more of my time.