Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakija hapa wanatusumbua wanakelele kinoma,,,,,kumbe jiji lenyewe in reality ni bayaa yaani limechakaa ni chafu ,,,wakija na aerial view zenye make up

mkuu umewavua nairobi ni vituko na hizo nganya zao
Kwani wewe hujawahi jiuliza kwa nini hawa wakora wanapost picha za jengo moja moja? Wanajua ukweli kwamba jiji lao limechoka. Kama Bongo pia tukiamua kupost picha za jengo moja moja mbona tutajaza server! Kabla ya kwenda Nairobi nilikuwa nadhani kwamba ni bonge la jiji lakini baada ya kwenda kutembea huko nikajikuta nacheka mwenyewe tu maana kelele nilizokuwa nasikia humu kuhusu hili jiji nilidhani kweli ni bonge la jiji.
 
wame lioverate sana .......jiji lao ni kituko ,,,ukitizama picha zao ndiyo kabisa yaani wanakaa angle nzuri na make up za kutosha kama hujatembea utasema dah kweli nairobi ni safi na ni bomba ...
ukienda sasa kutembea unaishia kuona vituko tu
 
Face lifting....viaduct with cable bridge
20200810_160133.jpg
20200810_160056.jpg
 
Attachments

  • 20200810_160419.jpg
    20200810_160419.jpg
    63.5 KB · Views: 7
  • Screenshot_20200810-155449.jpg
    Screenshot_20200810-155449.jpg
    96.6 KB · Views: 6
Mr wanjala bwana, hebu define basi ( Village Mentality)

Je ni kuhusu Hawkers?

Hata kwenu wapo

View attachment 1531956
View attachment 1531957
View attachment 1531958
View attachment 1531959

Kujazana kwenye Bus? Noma sana kuja jiji la First word nilikua sihangaiki kushikilia popote nimebanwa mpaka nafika na support ya walionikandamiza .

View attachment 1531971
View attachment 1531972

But you are someone from here?

View attachment 1531985
View attachment 1531986
View attachment 1531987
View attachment 1531989
View attachment 1531990
Duh wakenya wamejazana kwenye mbukinya hadi wengine wamepanda juu kwenye carry!!!🤣🤣🤣😀😀..tatizo ni exposure kwenye public transport huwa tunasimama hata tukiwa tokyo..
 
Face lifting....viaduct with cable bridgeView attachment 1533087View attachment 1533088

Umeona hizo red pavement Bricks pembeni? Hizo zinaanzia Pale Uhuru Heights , Bibi Titi Mohamed Road yote mpaka Nkuruma Street inapakutana na Msimbazi street pale Kamata.

Ndugu zetu wameweka pale juzi CBD yao wakaanza kusema Itachukua Karne kwa Bongo kufanya hayo au Nairobi haina wa kulinganisha nae tena.

IMG_0733.jpg

IMG_0732.jpg
 
View attachment 1533127
View attachment 1533128
kuna siku nilimwambia mmoja wao humu, kwamba kwa sasa hamna vitu vya kuringanisha tena.

mtu anatafuta ujinga wowote tu, ajipepee nao
 
We masikini acha kubishana na watu wenye expo zao..we toka uzaliwe uko mombasa tuu halafu unataka kubishana,ninyi wakenya mna akili gani!?
Heheheee!!tena hta tangia sijazaliwa nlikua bado nipo mombasa

Yani mtu unabanwa hata kutumia simu huwezi
 
Umeona hizo red pavement Bricks pembeni? Hizo zinaanzia Pale Uhuru Heights , Bibi Titi Mohamed Road yote mpaka Nkuruma Street inapakutana na Msimbazi street pale Kamata.

Ndugu zetu wameweka pale juzi CBD yao wakaanza kusema Itachukua Karne kwa Bongo kufanya hayo au Nairobi haina wa kulinganisha nae tena.

View attachment 1533127
View attachment 1533128
Usisahau walivyo anza kuweka izo sidewalks zao wakasema tutaiga miaka kadhaa badae yani hawa walikuw kweny giza totoro
 
Back
Top Bottom