ichoboy01 alipindua meza!😀😀😀😀😀
Kama la dodoma
Usinifanyie roho mbaya mkuu😀😀
Hakijaaribika kitu mbele ya uzalendo! Mie nangoja kuwasili ndege za ATCL pia safari hii ni kimya kimya!geza 😂😂 niliona mwenyekiti haonekani na katibu wake kadoda ikabidi nishike mzigo nikisaidiana na ww
Dah! overpass nj ya nn mkuu?aise,nina siku sijaja Dar!Kibamba overpassView attachment 1533220
ndege lazma ziingie kimya kimya 👏👏🇹🇿Hakijaaribika kitu mbele ya uzalendo! Mie nangoja kuwasili ndege za ATCL pia safari hii ni kimya kimya!
ulishatupiwa video uitizame ,unataka kila siku utumiwe.....Tuletee video ya cbd dar tuone vichochoro tufurahike kiasi
Ya kuelekea mloganzila hospital, iyo barabara imetanuliwa kua njia 8 kwa sasa na ujenzi unakaribia kukamilika kabla huu mwaka haujaishaDah! overpass nj ya nn mkuu?aise,nina siku sijaja Dar!
Akuna mahali serikali iliuza bonds or securities for this project.... i think you better get that one straightHere is another tweet to educate you
Dar es Sluum vs Mombasa 😁Dah! overpass nj ya nn mkuu?aise,nina siku sijaja Dar!