..SLUM nyingine ndio hioNiliskia dar haina slum..uwanja wa fisi ni slum ama city?
..SLUM nyingine ndio hioNiliskia dar haina slum..uwanja wa fisi ni slum ama city?
Unamaanisha hivi mkuu[emoji2957][emoji2957]Hiyo picha sio zamani vile. Tena nilikuwa naitoa kama mfano ambapo majumba mazuri kama hili hujengwa katika ya eneo la kushangaza.
View attachment 1524055
Lakini ukichukua picha kwa mbali huonekana vizuri. Kama hivi
View attachment 1524061
Lakini ukweli ni kama hivi
View attachment 1524062
Naona mme anza kutafuta vichocholo vyenye shida mna viita slums wekeni kama vile vya kunu achani utoto
Akili za mchwawi utazijua tu, hivi tangia uzaliwe umebadili waganga wangapi hko bongo[emoji23][emoji23]Kama Kenya hapakuwa na lockdown basi kulikuwa na lockup
So according to you..hio si slum? Bado tunaeza enda mwananyamala...Naona mme anza kutafuta vichocholo vyenye shida mna viita slums wekeni kama vile vya kunu achani utoto
yan hata hako ka uchocholo linganisha na kwen bado mpo so behind.So according to you..hio si slum? Bado tunaeza enda mwananyamala...
Unamaanisha uonyeshwe appartments yani[emoji23][emoji23]Niaibu kujitoa ufaham...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nionyeshe hiii...tuuu wala sina haja ya kukuonyesha zaidView attachment 1524165
Hizo ni "middle class areas" bro..MY fellow neighbours wa south..niliskia kua waga ..dar haina slum..we need to talk here?..the following pictures below i hope you are all familiar with ?
.View attachment 1524388
kumbe your slumz are massive hivi,,but nashindwa mbona waga mnacheka kibera na nyinyi mko na slums tena karibu na city? something which is not in kenya
HII bara bara ni ya morogoro inakupeleka moja kwa moja hadi cbd town..
View attachment 1524391
wacha sasa twende kwa ground watch this clip
Simjui, kwhyo siko interestedHehehe!!yani kitu ambacho nyapaka hapendi ni kujitekenya ili aingie forbes..
Kw mfano tu, nenda katika jaribu la forbes uone km utamkuta Lukas wanjiru[emoji23][emoji23][emoji23]
ona hii😂😂😂👇👇👇👇Dah OMG nyumba za udongo hadi karibia na City centerLeta picha kwa ground kama hizo za kwenu [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1524596
hehehhe..kama hapo ni middle class then..hawa watu hawana exposure....yafa tuwa chanue....Hizo ni "middle class areas" bro..
Hamna slums hapo, utachekwa next tim
Sisi tunathamini mila na desturi zetu....huo ni utamaduni na wala sio ujinga.Akili za mchwawi utazijua tu, hivi tangia uzaliwe umebadili waganga wangapi hko bongo[emoji23][emoji23]
Wazee wa kupiga ramli hamjambo, yani ukiwa tanzania mpka unashangaa..kamkasa kadogo au homa ushauri wa kwanza mtu unaambiwa hicho sio kitu cha kawaida nina mganga wangu nitakupeleka..
Yani najikuta nacheka tu huku nikipiga painkillers zangu na maisha yanasonga
Then hakuna aja kushindana na nairobi ..nairobi is more of western culture...kama ni desturi na mambo zengine from today shindaneni na mombasa huko ndio kuna mambo kama haya..nairobi is not a force to reckon with...nowonder economy yake inashindana na the whole tanzaniaSisi tunathamini mila na desturi zetu....huo ni utamaduni na wala sio ujinga.
Western na yale ma slum ya kibera?..watu wanapangusa matako na magazeti msalani?Then hakuna aja kushindana na nairobi ..nairobi is more of western culture...kama ni desturi na mambo zengine from today shindaneni na mombasa huko ndio kuna mambo kama haya..nairobi is not a force to reckon with...nowonder economy yake inashindana na the whole tanzania
kibera is here..currently the slum has began upgrading..na inakua demolished just check the new high rise building zinazo jengwa na barabara yenye itapitia katikati.
Unazingua, au na wewe hujui maaana ya slumEbwana eeeh To be honest Tanzania we have slums but Daaah This Is too much Aisee
Kenya You must change! [emoji23][emoji23]