Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Western na yale ma slum ya kibera?..watu wanapangusa matako na magazeti msalani?
before yapping too much kindly solve shida zenu uko mingi
1596369851852.png

1596369898808.png
 
Unazingua, au na wewe hujui maaana ya slum
stop leaving in denial..slum ziko dar es salaam..accept the reality and begin to make changes for a better living venye pia sisi tumekubali kibera slum ipo
 
another one from DAR CITY..Ati hakuna slum?? Before you start criticizing Kibera and other kenyan slum just know nyinyi pia mko na slums..ama mnataka twende MWANANYAMALA Slums ?

View attachment 1524772
Picha za zamani mno umeweka hapa, cku hz hakuna nylon mtaani lkn pia hapo pana mtaro na lami kali [emoji3][emoji3][emoji3]
 
stop leaving in denial..slum ziko dar es salaam..accept the reality and begin to make changes for a better living venye pia sisi tumekubali kibera slum ipo
Niletee sehemu Dar ambayo nyumba hazina madirisha, choo na access ya maji. Au hujui maana ya social services. huko nairobi hamna maji, madirisha na mtuanaishi kwenye nyumba alafu choo analipia au anakunya kweye mifuko nakutupia barabarani ndo unataka kufananisha na huku
 
stop leaving in denial..slum ziko dar es salaam..accept the reality and begin to make changes for a better living venye pia sisi tumekubali kibera slum ipo
Lete takwimu zikionyesha Dar kuna slums cz nyie c mnawaamini wazungu, haya lete ushahidi hapa ili tuamini, mana cc tukisema hatuna slums mnabisha haya leta ushahidi.
 
Back
Top Bottom