Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ww na google earth nani anaakili zaidi👇👇👇👇😂😂 tafuta slums in dar kwenye google earth ukipata mm nafunga acc jamii forum👇👇View attachment 1524397

Dar needs to deal with unplanned settlements

Dar needs to deal with unplanned settlements - UrbanAfrica.Net
1596319172640.png
 
MAREKANI YAITAJA TANZANIA KUWA SALAMA!!

IDARA ya Ushauri wa Afya ya Marekani imeitaja nchi ya Tanzania kuwa ni miongoni mwa nchi salama ambazo wananchi wake (Wamarekani) wanaweza kuitembelea katika majira haya ya joto.



Taarifa iliyotolewa na idara hiyo na kutangazwa na kituo cha Televisheni cha CNN, imesema wananchi wake wanaweza kuitembelea Tanzania lakini wakifika lazima wafanye vipimo vya Covid-19 kabla ya kuendelea na shughuli zao.



Hivi karibuni Serikali ya Tanzania kupitia kwa Rais John Magufuli ilifungua milango kwa watalii kutoka nchi mbalimbali kuja kuitembelea na kwamba ugonjwa wa Covid-19 umedhibitiwa hapa nchini lakini ni vyema wananchi na wageni kuendelea kuchukua tahadhari.



Wamarekani wanaruhusiwa kuingia kwenye nchi hizi bila masharti:

Albania
Dominican Republic
Kosovo
Maldives
Mexico
North Macedonia
Serbia
Tunisia
Turkey
Wamarekani wanaruhusiwa kuingia kwenye nchi hizi kwa masharti ya kupima Covid-19.

Antigua and Barbuda
Aruba
Barbados
Belize
Bermuda
Cambodia
Croatia
Dominica
Ecuador
Egypt
French Polynesia
Ireland
Jamaica
Rwanda
St. Barts
St. Lucia
St. Maarten
St. Vincent and Grenadines
Tanzania
Turks and Caicos
Ukraine
United Arab Emirates
United Kingdom.

Mmarekani na mbinu za Panya anang'ata na kupuliza.

SISI TUKO SALAMA
 
Taja slums kwa majina mfano kibera slum mathare slums etc
MY fellow neighbours wa south..niliskia kua waga ..dar haina slum..we need to talk here?..the following pictures below i hope you are all familiar with ?

.View attachment 1524388

kumbe your slumz are massive hivi,,but nashindwa mbona waga mnacheka kibera na nyinyi mko na slums tena karibu na city? something which is not in kenya
HII bara bara ni ya morogoro inakupeleka moja kwa moja hadi cbd town..
View attachment 1524391
wacha sasa twende kwa ground watch this clip
uwezo wako wa kufikiri ndo ulipoishia
 
Kibera ipo 5km from CBD kwa tafsiri sahihi km5 sio mbali yaani ipo karibu na CBD ambapo unaweza ukatembea kwa miguu
kibera slum is far away from town...but hizi slum zenu ziko tu karibu na town..naeza sema ni uswazi umejaa
do you know kibera slums have been begun to be upgraded..the following picture shows you soome of the high rise building that are being built in kibera..hayo majengo yako apo top right of the picture..and also not how kibera is located far away from cbd town ..separated by southern bypass road...View attachment 1524400
Tafuta slums kwa dar ambayo ipo km5 from city center
 
Back
Top Bottom