Muigai Jr
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 1,529
- 2,969
Ni fahari kweli kweli kuwa Mtanzania.Yn serikali ya Kenya imeonesha udhaifu mkubwa mbele ya Wakenya, na ss wamegundua kuwa who is a Father in this region, lkn pia hata WaTz wamegundua kuwa wanaishi katika nchi inayotegemewa mno ukanda huu kwamba cc ni wafalme ukanda huu, naskia fahari sn kuzaliwa nchi hii.
Kudadadeki tuliwatolea nje wazungu (barrick) na wakaja kupiga magoti yn wao walitoka kwao na raisi wao wakaja bongo kupiga magoti na wakakubali tunachotaka ndo itakuwia nyie Wakenya tunawalisha asbh mchn na ucku?
Yn Magu amenifundisha mengi sana kwakweli, amenifundisha jinc ya kuishi na washenzi pia amenifundisha nithamini na kujivunia changu daima