Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Hiyo ni high rise Slum tu. Better Roysambu In Nairobi
Hiyo ni high rise Slum tu. Better Roysambu In Nairobi
☝☝🙏🙏🙏🙏Pole sana
Kitu pekee kinachoonesha nchi ime mature kama real MIC ni real estates developments maana huwezi kuwa na booming real estate sector kama ilivyo Kenya kama hakuna middle income earners wengi,Tzn bado saana kufika huku ila ndio safari imeanzaWhen people are struggling with Upperhill, Kilimani, Westlands, Parklands, Parkroad, Runda Hurlinghum, Kileleshwa etc, other hoods like Ruaka are coming very fast. Only 2018, it was a bush, 2 years later and it is a City
View attachment 1519119View attachment 1519121
Hongera zenu inaonyesha kweli nyie ni MIC,huku bongo sekta ya real estates ilishadorora toka JK atoke imebakia mashirika machache ya serikali wanajenga nyumba za serikali dodoma,elsewhere kila mtu anakomaa na dream house yake tuThere are projects in Nairobi that are big. This project in Ngara is huge.
10 Towers 8 Floor
6 Towers 15 floor
10 Towers 20 Floors
6 Towers 25 Floors.
Sorry for poor quality
View attachment 1519152View attachment 1519153View attachment 1519154
but i see and CBD also😂😂😂This is Upperhill Nairobi
View attachment 1519923
Kenya mnawakilisha vyema sana hapa EAC kama nchi inayoibukia kimaendeleo na wala hakuna nguvu kubwa ya kujisifia kama kule kwingine,good enough ni private sector led initiative ambayo inamnufaisha kila mwenye kutumia maarifa na juhudi zake vizuri..Huku bongo tunawategemea sana kwenye teknologia za kilimo na masoko ya mazao yetuKajiado Kenya. The Nairobi Metro Sprawl continues
View attachment 1519129View attachment 1519130View attachment 1519131View attachment 1519132
Chanzo chako sio HAKIKA, nyie si mnapendelewaga na IMF ..?tuletee report ya IMF


Kenya mumeanza ku take-off kiuchumiHiyo ni high rise Slum tu. Better Roysambu In Nairobi
View attachment 1520211
View attachment 1520212
Kitu pekee kinachoonesha nchi ime mature kama real MIC ni real estates developments maana huwezi kuwa na booming real estate sector kama ilivyo Kenya kama hakuna middle income earners wengi,Tzn bado saana kufika huku ila ndio safari imeanza
Kigezo hicho cha real estate kilichaguliwa na nani, au ni mawazo yako ili angalau uonekane japo na wewe unajua kuzungumza?Kitu pekee kinachoonesha nchi ime mature kama real MIC ni real estates developments maana huwezi kuwa na booming real estate sector kama ilivyo Kenya kama hakuna middle income earners wengi,Tzn bado saana kufika huku ila ndio safari imeanza
Lakini Tanzania inaongoza Africa katika Economic inclusiveness na Kanya inashika mkia, habari hiyo unaijua?Kenya mnawakilisha vyema sana hapa EAC kama nchi inayoibukia kimaendeleo na wala hakuna nguvu kubwa ya kujisifia kama kule kwingine,good enough ni private sector led initiative ambayo inamnufaisha kila mwenye kutumia maarifa na juhudi zake vizuri..Huku bongo tunawategemea sana kwenye teknologia za kilimo na masoko ya mazao yetu
HahahahaKenya mumeanza ku take-off kiuchumi
👏👏👏👏Lakini Tanzania inaongoza Africa katika Economic inclusiveness na Kanya inashika mkia, habari hiyo unaijua?


