Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bagamoyo Road Expansion.

IMG_0182.jpg

IMG_0181.jpg
 
😅😅😅😅sijui watu wanajiskiaje.

Unajua ubaya wa dsm inabadirika kwa kasi sana 2017 wakati huu uzi unafunguliwa.hapa palikuwa pa hovyo tu.

Sijui 2025 hali itakuwaje.Mungu atupe uzima.
Maana ndugu zetu silaha zimeisha siku hizi wanafungua uzi hata uwekaji wa paving za watembea kwa miguu😂😂😂😂
 
Sijui 2015 hali itakuwaje.Mungu atupe uzima.
Maana ndugu zetu silaha zimeisha siku hizi wanafungua uzi hata uwekaji wa paving za watembea kwa miguu😂😂😂😂
2015 aisee
 
😅😅😅😅sijui watu wanajiskiaje.

Unajua ubaya wa dsm inabadirika kwa kasi sana 2017 wakati huu uzi unafunguliwa.hapa palikuwa pa hovyo tu.

Sijui 2025 hali itakuwaje.Mungu atupe uzima.
Maana ndugu zetu silaha zimeisha siku hizi wanafungua uzi hata uwekaji wa paving za watembea kwa miguu😂😂😂😂
wengine walifungua uzi kufunguliwa vyoo 😂😂😂😂
 
Watanzania huwa mara nyingi hupost picha za Dar es salaam humu sio rahisi uwaone wakipost picha za Nairobi humu labda uwachokoze,

Ila mkenya anaamka tu asubuhi anaanza kupost picha za Dar [emoji23][emoji23][emoji23]

Ina maana picha za Nairobi zimeisha au ni inferiority complex ama ni kweli wameanza kuogopa hii battle!
 
Tena picha yenyewe anapost ni ya 90s[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Walizoea kuongopeana wanazidi Tz kwa mambo mengi but now kibao kimegeuka WaTz ndiyo wanaamini wamezd kenya mambo mengi [emoji3][emoji3][emoji3]
Media zao huwa zinawajaza ujinga sana bila kusahau huwa wanaanza kukaririshwa kuanzia shuleni kuwa wapo bora kuliko waafrica wengine [emoji23][emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom