The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Ilikuwa ukienda pale kkoo mida km hii unasikia majenereta tu kkoo nzima, na ikifika weekend ndo kabisa hakuna umeme, yn watu wana lana sn hv inakuwaje mtu unashindwa kutosheka na unachokipata? Hawa African leaders mbn ni wasaliti sn?Nchi ilikuwa imeoza sana halafu utasikia mkumbaf mmoja eti JPM hajafanya kitu,
Yaani walikuwa wanazima umeme makusudi na kufungulia mabwawa ili wauze majenereta yao,
Sasa hivi mgao wa umeme umekuwa historia wakati kipindi kile ulikuwa unakatika asubuhi na kurudi usiku na hii ilipelekea nchi kukosa wawekezaji waliokuwa na mpango wa kufungua viwanda.
