NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,747
- 49,633
kuna picha moja kama hii matata ipo DTB bank mliman city ofis ya manager... picha ya ukweli balaa.. nimeshindwa tu kuipiga mana ni sehem za watu hizo
Ile picha pamoja na Ya Daraja la kigamboni karibu na mlangoni imepigwa na Jamaa anaitwa Black Santa MXcarter wa Slidevisual.