Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Upperhill imeinuka ndani ya mda mfupi sana..kwhyo kuhusu hvyo vigingi bado ni vya zamani tu..
Ngoje uone concrete zikidungwa hko, naskia hata nynyi mntaka kwenda kw concrete sai[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Unaongeleaj watu kupita njia moja na magari...alafu unakuja apa nyenyenye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] iyo upperhill niuozooo....kweny njia za miguu miferej imeachwa wazi ushuzi wa bata....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382]
Screenshot_20200727-073024.jpg
 
In the 21st century na hizi hospitali zote uchwara watanzania husifia hapa inakuaje a whole president anakufa sababu ya a small manageable disease kama Malaria?? [emoji780][emoji780]
Hii ni corona ilimuua View attachment 1518057
If he had a weak immune system is it also our fault?? What exactly are you trying to say?? The family already admitted that he did not have corona virus so keep calm and shut your big mouth.
 
Kama kweli mnampenda Mkapa ipeeni haki roho yake na familia yake kwa kuwaambia ukweli.
Serikali ikifanya ivo, mwendazake atapumzika vyema na familia yake itajikinga wasiuguze ule mwili kiholelaholela wasije ambukizwa.

Kama kweli mkapa alikua na corona inamaanisha atawaambukiza Watu wengi wakubwa wakubwa wanaohudhuria yale mazishi na kuuguza ule mwili. This might be lesson Tanzania has been waiting for ndo muichukulie corona serious just like Burundi.
ongea maneno ukiwa na uhakika acheni upuuzi na ujinga kwan kabla ya corona waty walikua hawafi?? huu ndio upuuzi kenyataa aliowaachia nyinyi

 
Back
Top Bottom