Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanajua hawa huwa wanajitoa akili ...sasa we ngoja...tuwaonyesh mana alisi ya Das es salaam pimbi awa
 
Sasa umeandika nn?..wewe mwenyewe ukiambiwa usome ulichoandika huwezi....shenzy type
Cha msingi umelewa pimbi lipa icho kipande nusu cha k/koo km mnapumziii[emoji23][emoji23][emoji23] chenga tu hakuna lolote....
 
Those kariokoo takataka are allover Nairobi kwenye kila mtaaView attachment 1516850
Ukiona pumzi kisoda usishindane pumzika ....huu uchafu unalinganisha na nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]alafu ukajifany unaongea ...kumbe unaenda kuleta hiki kislum ......kumbe dharau zote nusu y K/koo jasho mwili mzima pimbi ww[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katafute nyingine....hii rudi nayo
 
Niliwambia dar imejengwa kaeneo kadogo sana yani 2% pekee ndio maana unaona kariokoo unadhani ni kubwa lakini kiuhalisia hamna kitu

 
Hilo eneo pekee ni kubwa kuliko hiyo fishing village
 
Niliwambia dar imejengwa kaeneo kadogo sana yani 2% pekee ndio maana unaona kariokoo unadhani ni kubwa lakini kiuhalisia hamna kituView attachment 1516870View attachment 1516871
Usinilete blablabla nionyeshe iyo nusu ya K/koo tu ambayo umekuwa ukiwaminisha watu humu kuwa dar is a tiny, tuonyesh nyie wenye nirobary iyo nusu ya k/koo tu km huna sema huna sipo apa kufany politics.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu huwa unakuwaga na sindano flani hv za beautiful nurse yn ata akikupiga mkuki maumivu yanakuwepo ila sura yake inakufariji [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…