Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Majengo yenyewe hayo si marefu ila kwa kuwa yamejengwa kwenye vimilima
Bwahaha!!ukileta picha cbd dar ambayo kumpangika hivi na log off jf..
Hapa wala hkuna cha kubanana
tapatalk_1590875975658.jpg
 
Umekuja kivingine[emoji23][emoji23][emoji23]
Usijali, mada ya kitambulisho iko pale pale..
Hivi itakuaje wazalendo wanatumia lugha ya mabeberu mpka kw vitambulisho[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli nyie wazalendo uchwara[emoji382][emoji382]
kwa ijiri ni lugha rasmi ya biashara imsaidie kuelewa hata asiye mswahili[emoji3][emoji3][emoji3].

nikurudishie hili swali au nikuonee huruma huna jibu[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wakenya wanapendelea onions kutoka Tanzania maana zina ubora wa uhakika hawa wa humu huwa ni mdomo mrefu tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
#Buykeonions [emoji23][emoji23][emoji23]
They eat our maize our onions our oranges our rice and even their military brassband celebrate national event singing our songs!
 
Back
Top Bottom