Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tower ngapi zipo hapo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unajua mji wenu majengo yako mbalimbali hasa hapo CBD ndio maana unaweza dhani mna tower nyingi kumbe, asa tower ngapi mnazo...
tapatalk_1595571756867.jpeg
 
Tower ngapi zipo hapo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unajua mji wenu majengo yako mbalimbali hasa hapo CBD ndio maana unaweza dhani mna tower nyingi kumbe, asa tower ngapi mnazo... View attachment 1515465
almanusura nikubishie mpaka nilipoona lile jipya lililopinda ndio nikakubali kwamba ni picha ya hivi karibuni[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Dah bado naitafakari cku ya kesho nahisi itakuwa nzito sn lkn kwa uwezo wa Allah atatufanyia wepesi katika jambo hili zito, mana kwakweli kifo ndiyo jambo pekee linaloanza kuwa kubwa na baadaye linazoeleka, tumuombe mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi kwani nasi hatujui siku yetu, cz unaweza tafakari jinsi gani itakuwa kesho na usifike hiyo kesho.

Ni msiba mzito sana kwakweli lkn ni lazima tukubali kwamba mzee amekwenda na kama yeye alivyo tutangazia msiba wa mwalimu Nyerere naye leo ametangazwa na mwenzie ya kwamba amefariki.

Kama Kapteni Komba alivyomuomboleza Mwalimu naye pia aliombolezwa.

Kama Dr. Lemi alivyoimba kifo lkn naye pia hakijamuacha.

Kama Ephrahim kibonde alipomuaga Ruge naye pia aliagwa cku chache zilizofuata.

Hivyo basi hili jambo ni la wote na wote tutakufa, WaTz tusimame pamoja katika msiba huu mzito na mwenyezi Mungu atatufanyia wepesi inshaallah.
uzito wa cku unatoka wapi wewe pimbi,saizi tuko site tunaendelea na kazi kama kawa
Hii ni nzito kwa nyie wapiga pambio wa awamu hii,poleni kwa pigo maana watu wakatili wakianguka wenye haki hupata ahueni..Huyu mwamba alikuwa katili kama wa sasa msikitikieni nyie huku kitaa hakuna anayesikitika coz tunajua alichotufanyia
Siku zake za mwisho alianza kujutia mambo kama ya Cuf muembeyanga,Zanzibar,Buhemba nk nk ,,hadi kujilaumu kwa nini hakuleta katiba mpya na kumsukumiza dikteta aliyepo maana nae alishaanza kumchoka mlibakia nyie wapiga pambio..apumzike anapostahili
 
Naona imepenya hyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382]
 
Bwahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kamateni mfunge bana, lugha ya mabeberu inatafuta nini hku[emoji119][emoji119][emoji119][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1515516
Wewe huna akili. Kuna lugha mbili hapo Kiingereza na Kiswahili. Watanzania hawakai Tanzania peke yake. Huo ni utambulisho wa mtanzania popote alipo. Tofauti na nyie pimbi wanene mnaotoa priority ya majina ya Kiingereza kwenye sehemu nzuri tu halafu zile sehemu ovyo mnazipa majina ya kiafrika. Pumbavu msio na haya nyinyi!
 
Back
Top Bottom