Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakulima wa Tz wajiandae tu kunyuka pesa chafu za wavivu....[emoji122]
Screenshot_20200724-172427.jpg
 
Wakulima wa Tz wajiandae tu kunyuka pesa chafu za wavivu....[emoji122]View attachment 1515797
Yn kwakweli nimejifunza Magu co mtu wa kawaida yn Magu tunayemuangalia kwa macho yetu haya cvyo tunavyomuona yn ni mtu mwenye IQ kubwa sana pengine kushinda hata hao kina Enstein wanaosema ndo viumbe wenye IQ kubwa, yn hayo wanayoongea wazungu leo Magu aliyaongea miezi kadhaa nyuma na akasisitiza wakija muwagonge bei kisawasawa, eti wazungu ndo wanaona leo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mapimbi kama hawa dawa yao nikupiga bei chafu waelew who is in control of EA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Kwa lugha ya kichina neno crisis lina maana mbili, moja ni maafa na nyingine ni fursa, (NDINDA unaweza saidia kama nimekosea). Sasa ndiyo tutaelewana hapa kwa nini wahenga wetu nao walisema kufa, kufaana.
 
Sema dah huyu mwamba nilimuona wa kawaida, kumbe ana mchango mkubwa sana... mpka inafika wakenya wanamshukuru kuwanusuru na vita baada ya uchaguzi ama kweli mchango wake ulikuwa ni mkubwa.. Pumzika salama mzee [emoji1488]
View attachment 1515966
Mkuu Simon ulikuwa unamuona wa kawaida huyu! Huyu ni miongoni mwa watu wakubwa Afrika hii mzee.
 
afu kuna mtu jana sijui leo alileta tweet ya twitter anatusimanga hatupo kwenye list ya nchi yenye chakula kingi.. naomba atagiwe hapa ili aisome vizur hili bango [emoji23][emoji23]
Wala hakuna haja ya kumtag mkuu tutakuwa tunaitumia hii kwa kupiga panapouma yn ni silaha ya nyuklia hii ataipata habari yake[emoji3][emoji3][emoji3]
 
afu kuna mtu jana sijui leo alileta tweet ya twitter anatusimanga hatupo kwenye list ya nchi yenye chakula kingi.. naomba atagiwe hapa ili aisome vizur hili bango [emoji23][emoji23]
Kuna fala mmoja anaitwa kennedy0000 kuna thread amepost inaonesha nchi zenye food insecurity so nadhani hii itamfaa sn hii ili ajifunge mkanda mapema [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yn kwakweli nimejifunza Magu co mtu wa kawaida yn Magu tunayemuangalia kwa macho yetu haya cvyo tunavyomuona yn ni mtu mwenye IQ kubwa sana pengine kushinda hata hao kina Enstein wanaosema ndo viumbe wenye IQ kubwa, yn hayo wanayoongea wazungu leo Magu aliyaongea miezi kadhaa nyuma na akasisitiza wakija muwagonge bei kisawasawa, eti wazungu ndo wanaona leo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Rais wetu hana mfano,...mimi naona tuu tuwapige bei...hamna haja ya kubembelezana na makima,wavivu na wajinga....ujinga wao ni faida kubwa kwetu....nyang'au wahedi.
 
Back
Top Bottom