The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Takwimu za chato hzoKwa sasa 98%ya WaTZ wanatumia nishati ya ges majumbani.
Dar ugali wenye mboga ya dagaa njegere tembele ,na maharage kwa pamoja tsh1000 = ksh50 vp Kenya ?Takwimu za chato hzo
Alaaa!!Hili nalo unapinga! Aisee ww ni wa kuombewa kwa kweli.
Mmmmm!!naona umeanza kujitia ujuaji sasaHuwezi kujua nchi zingine kwasababu hujatoka nje ya Kenya, Mimi huwa ninakuja Mara kwa Mara hapa Yaya Centre, hapo kuna ofisi za metala detectors, ninaijua vizuri sana Nairobi, haina tofauti yoyote na miji mingine ya Africa, zaidi ya insecurity.
Kw wale wasiolijua jijiKwani uongo Kenya kachumbari inauzwa pekeyake hadi chumvi unauziwa
Bwahaha!!!tuanze na mwaka huu, watz na wakenya ni wapi walifurushwa makwao makundi makundiChizi wewe, Magufuli alipoingia madarakani tu, aliwafurusha wakenya kibao waliokua wakiishi Tanzania bila kufuata sheria, ndio mwanzo wa wakenya kuanza kumchukia.
Oooh men i didnt know the ugliest have a grand paa







on the left side...now i love this eeeeesssssiiiijiiiiiaraaaaaaaaaaa











Mizimu inachungulia nje 🤡🤡Oooh men i didnt know the ugliest have a grand paaon the left side...now i love this eeeeesssssiiiijiiiiiaraaaaaaaaaaa
View attachment 1508432
Wewe kwanza uko na sura,hahaha,,hio iko left inachapa job kichizi,double stack hiooo,sura haitatusaidia sisi,Oooh men i didnt know the ugliest have a grand paaon the left side...now i love this eeeeesssssiiiijiiiiiaraaaaaaaaaaa
View attachment 1508432
nothing real special in kunya....Wewe kwanza uko na sura,hahaha,,hio iko left inachapa job kichizi,double stuck hiooo,sura haitatusaidia sisi,
View attachment 1508447






yani waarabu wanawatesa uko saudia hadi tena hao waarabu wanawaonea huruma chakushangaza hamkomi kupeleka ma bek3 hukoUgua pole pole tu
Wapi wakenya wamekamatwa makundi makundi na kurudishwa makwao
Najua ukwel unauma
For you to show that double stack it mean what exactly?....actual i dont see the engine...Wewe kwanza uko na sura,hahaha,,hio iko left inachapa job kichizi,double stuck hiooo,sura haitatusaidia sisi,
View attachment 1508447

Cha ajabu ngoja akuletee picha ya hzo u/c km hujazimia, utaambiwa kiwanja hk kimegharimu kshs 500mil zen angalia icho kiwanja wallahi na ukumbuke kwamba huo co ujenzi wa viwanja vipya bali ni ukarabati tuStadiums under construction in kenya
1 wote
2 chuka
3 kisumu
4 kinoru
5 mwea
6 marsabit
7 Mombasa
8 kamariny
7 Ruringu
8 Nandi
9 kipchoge
10 isiolo
11 Tononoka
12 masinde


It means the outlook of cargo train dosent matter, what is most important is the amount of cargo the train can handle, in that case our sgr cargo trains are giants furthermore they are one and only double stack in Africa, thus making them the best cargo trains in AfricaFor you to show that double stack it mean what exactly?....actual i dont see the engine...![]()