Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hyo ishu ya peak hours na nairobi ni tofauti kabisa..
Hilo najua miji mingi sana sana afrika hilo bado ni tatizo..lkn kuuelewa mfumo wa nairobi lazima uje ukae ndipo utaelewa km mambo yanaendaje..

Kamwe huwezi ielewa nairobi kw story za vijiweni
Huwezi kujua nchi zingine kwasababu hujatoka nje ya Kenya, Mimi huwa ninakuja Mara kwa Mara hapa Yaya Centre, hapo kuna ofisi za metala detectors, ninaijua vizuri sana Nairobi, haina tofauti yoyote na miji mingine ya Africa, zaidi ya insecurity.
 
Ndio manake nikakwambia ufike nairobi ndio ujue uhalisia

Nairobi ni place ambayo kuilewa mpka ufike na uishi kw mda kiasi..
Kw mfano:unaweza abiri matatu from point A-B alafu ukakuta fare ni 70, route hyo hyo at the same time mtu anayetoka point B-A analipa fare 30..

So uache ma feelings please, kuja ujione na ukubali kuzidiwa kwanza km mwwnzako aliyeuziwa kachumbari hoteli
Kwani uongo Kenya kachumbari inauzwa pekeyake hadi chumvi unauziwa
 
Umeskia wapi hapa afrika wakenya wamekamatwa kw wingi na kurudishwa makwao kw wingi km vile nynyi, wanaija, ethiopians e.t.c

Etc leo unataka kujitoa ufahamu na mwaka huu wamerudishwa kibao
Chizi wewe, Magufuli alipoingia madarakani tu, aliwafurusha wakenya kibao waliokua wakiishi Tanzania bila kufuata sheria, ndio mwanzo wa wakenya kuanza kumchukia.
 
Watanzania wanaotamani kwenda South Africa ni Jobless, wakenya wametapakaa nchi zote za Africa, Nigerians, Somalians, Kenyans, Ethiopians, Yemen's, Libyans, na kutoka nchi za Africa ya kati, ndio raia wake wamekimbia nchi zao kwa wingi.

Huwezi kuta raia toka Seychelles, Mauritius, Botswana, Tanzania, South Africa, Namibia, au Zambia wanakimbia nchi zao kwa wingi.
Uwezi kukimbia nchi ya Asali na maziwa...katika kitu ambacho tunapata heshima duniani...ni kutokuzura duniani...wenzetu wananyanyasika sana huko nchi walizokimbilia.
 
Another new stadium coming in Kisumu. The work is ongoing.

Eb0D6PiWAAAcZE2.jpg
EbRUgFhWsAAzGAQ.jpg
 
En still hyo mitungi licha ya kuwa rahisi tz, lkn bado wengine wanaionea mitandaoni tu
Wewe ukifika tz lazima ukatae kurudi Kenya kama MK254 alivyo telekeza Mke na Watoto na kujificha tz, zamani wakenya walikuwa wanadhani sababu za wanaume wa Kenya kutorokea tz ni wasichana warembo tu kumbe gharama za maisha tz ni chini Mara 4 ya Kenya tena maisha tz yana uhakika kuliko Kenya
 
Ninyi c huwa hamuweki jiwe la msingi wala construction boards imekuwaje tena
Nani alisema hatuweki jiwe la msingi? What I said was that we don`t usually put construction boards in "most" of our projects. Jiwe la msingi iko hadi ya Nairobi Expressway.
 
The progress of the Expressway. This is part of the expressway that joins Mombasa road to Syiokimau SGR station.
Ec-DuilXkAEJ2Np.png
 
Sports projects in Kenya. Ongoing construction of Masinde Muliro stadium in Bungoma county.
 
Wewe jamaa ni waajabu sana wewe jamaa wewe yani unataka kuwafananisha viongozi wa Tanzania ili iweje sasa au roho inakuuma kuona magufuli anawaka au inakuuma nini kwa mfano hebu tuelezee tukuelewe wewe ni gani wewe jamaa wewe yani sikuelewi kabisa pumbavu wewe.
Mpuuze huyo..tunamjua ni victim wa cheti fake.
 
I wish mgekua mnafuata mambo ya CCM kwa kina kama vile mnafuata mambo ya Kenya.
Tunawafatilia kwa sababu Njaa ikizidi sana huko Kunyaland itaongeza uvunjifu wa Amani kwenye ukanda wetu huo...kumbuka Tz ndo inapokea wakimbizi wengi kuliko nchi yoyote Africa,,tunapata wakati mgumu kudumisha Amani ya ukanda huu.
 
Back
Top Bottom