Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,953
- 27,930
hio ndio official source ??? 😂😂😂😂
is this official source unatuletea porojo hapa 😂😂😂😂😂Kenya doubles Tanzania in the number of passenger vehicles
View attachment 1506466
Define official alafu uje tuongee.is this official source unatuletea porojo hapa 😂😂😂😂😂
mpuuzi wewe nimekupa official link from gvt 2012 dar alone ilikua na cars 1m what about 2019 and what about all part of tanzania 👇👇👇👇👇 bado zanzibar hapoDefine officialalafu uje tuongee.
mjionee kwa macho 👇👇👇
😀 Mtaalam usishangae sana maana hawa jamaa usisahau kuwa hata canter, mitsubioshi, mikokoteni ya punda, n.k kwao ni passender trucksis this official source unatuletea porojo hapa 😂😂😂😂😂
Ngombe mmoja wa mmaziwa anazalisha maziwa ya ngombe za kiasiri kama kumi,kwaivo si sahihi kucompare number of livestock na milk production,angalia new Zealand wana ngombe wangapi alafu ulinganishe na India alafu uone production yamaziwa ni kama usiku na mchana..Hizi forums za ratings si sahihi.
Kenya wamechukua nafasi ya Tanzania. Tanzania ni namba 3 kwa nchi zilizo na idadi kubwa ya livestock Africa.
South Africa, idadi ya livestock ni less than 5 million, wakati Tanzania idadi tu ya Ng'ombe ni more than 35M.
Forums nyingi ji Wakenya huanzisha kwaajili ya kupoyosha.
😂😂😂😂😂😂 kama punda yupo basi nishaelewa😀 Mtaalam usishangae sana maana hawa jamaa usisahau kuwa hata canter, mitsubioshi, mikokoteni ya punda, n.k kwao ni passender trucks
according to bogus from slum 😂😂Today's facts.
1. JKIA handles more passengers than all Tanzanian airports combined.
2. Mombasa port handles twice the number of cargo volumes handled by all Tanzanian ports combined.
Ni sawa lakin Kunyaland haiwezi kuwa na maziwa mengi kuliko sisi...Ranch zetu za serkali na zile za watu binafsi ni nyingi saana kuliko zilizoko Kunyaland....kwa hilo tuu ni ushindi.Ngombe mmoja wa mmaziwa anazalisha maziwa ya ngombe za kiasiri kama kumi,kwaivo si sahihi kucompare number of livestock na milk production,angalia new Zealand wana ngombe wangapi alafu ulinganishe na India alafu uone production yamaziwa ni kama usiku na mchana..
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
JKIA handled 8.3m passengers last year wakati all airports in Tanzania only handled 5.5m passengers in 2019. Niongeze sauti ama niache?according to bogus from slum 😂😂
Mbona watanzania mna akili finyu ivi?haimaanishi juu mko na ngombe wengi it's translate to maziwa Ka unajua dairy farming nini, ngombe mmoja wa grade anatoa maziwa zaidi ya mara kumi kushinda ngombe wa kieyeji...hii hapa tunazalisha maziwa mengi mara mbili zaidi yenyu nitaftie source yoyote unasema otherwise nifunge accountSi mmeona vitakwimu ushuzi km hv, eti Tz ya 10 kwenye uzalishaji maziwa![]()
Ubishi ni wa niniNi sawa lakin Kunyaland haiwezi kuwa na maziwa mengi kuliko sisi...Ranch zetu za serkali na zile za watu binafsi ni nyingi saana kuliko zilizoko Kunyaland....kwa hilo tuu ni ushindi.