joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Muhimu ni hiyo Gari au private jets kuwa imesajiliwa Kenya. Lakini katika hili Mimi ninazungumzia wakenya kumiliki private jets na helcopters. Kumbuka kwamba helicopters nyingi zinazotumika hapa Tanzania zinakodishwa toka kwa wakenya?.so mm labda nikuulize swali kama shirika lipo UK limeamua kuekeza biashara ya private jets kenya unamaanisha hao wenye shirika lazma wawe kenya ili wamiliki magari???
Helicopter iliyotumiwa na DEO Filikunjombe na kusababisha kifo chake ilikua ya Kalonzo Musyoka, Rutto anayo Private helicopters, Musalia Mudavad, Raila na wabunge wengi wa Kenya wanazo.
Upande wa Private jets; Chris Kirubi, na baadhi ya wakurugenzi kadhaa wa Kenya wanazo Private jets. Je kuna watanzania wangapi wenye private jets na Helicopters?
