NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,726
- 49,572
New CBD![]()
With proper road infrastructure.
New CBD![]()
Kama hoja nzito ya mamilionea tumewazidi Kenya itakuwa ya magari ,wanaosea Kenya imetuzidi magari watuambie vipi tumewazidi mamilioneahata katika NO za millionaires ilikiwa ni hivi,kuumbeee.
mimi ninachoamini tz hatuko makini katika data,hii inanipa wasi wasi hata katika swala zima la uchumi.inawezekana hali ni tofauti sana.
nairobi kwa eneo tu inaingia mara 2.5 kwa dsm,msongamano wa magari katika barabara zake si kugezo cha wingi wa magari,inafaa kufikiri kwa uhuru kidogo.
Kama hoja nzito ya mamilionea tumewazidi Kenya itakuwa ya magari ,wanaosea Kenya imetuzidi magari watuambie vipi tumewazidi mamilionea

tena tunawazi mbali sio wawili au wanneNBS Tanzania is leading in Africa on data accuracy!hata katika NO za millionaires ilikiwa ni hivi,kuumbeee.
mimi ninachoamini tz hatuko makini katika data,hii inanipa wasi wasi hata katika swala zima la uchumi.inawezekana hali ni tofauti sana.
nairobi kwa eneo tu inaingia mara 2.5 kwa dsm,msongamano wa magari katika barabara zake si kugezo cha wingi wa magari,inafaa kufikiri kwa uhuru kidogo.
Milele hakuna kitu kama hicho....DSM tuu ni kubwa kuliko Nairob,kampala na kigali in combine..sasa iweje ..kiji Nairobi kiwe na magari mengi ama kenya....never on earth....pia ikumbukwe most of the Kunyaland is inhabited....nazungumzia huko kaskazini mwa kenya....gari kule hupita baada ya miezi kadhaa.Kama hoja nzito ya mamilionea tumewazidi Kenya itakuwa ya magari ,wanaosea Kenya imetuzidi magari watuambie vipi tumewazidi mamilionea
Labda wame hack device zake..Uko sahihi hata mie msomaji nimenotice huyu sio Joto la jiwe, Toka siku inaanzishwa hii thread nafuatilia.
Hahahaha, tatizo wengi mumedandia Gari kwa mbele. Lengo langu lilikua kujibu hoja ya yule "Variable" ambaye alikua anasifia Kenya kwa kujenga barabara nyingi za njia NNE, na kuikashifu Tanzania kwa kutojenga hizo barabara za njia nne matokeo yake akawa analamikia foleni.Hivi unajua hatukuelewi!!
Lengo lako hasa nini labda!!
Yaani ww kama tupo wote Jeshini Ukaleta hizi story zako nakupa shaba
Acha kujivunjia Heshima basi
Oya sikia. Uzi huu una miaka mitatu.
Na hiyo hoja ilishaletwa mika mingi sana.
Hiyo hoja ni ya Beforwad. Ni statistics za hiyo company. Yaani watu wanaoagiza magari kupitia Beforward.
Vile vilevhoja hiyo ilikuwa imejikita katika ratio.
So kama ratio ya kenya 30/1000
Then Tanzania ni 26/1000
zidisha kwa population
Kenya 30/1000 x 50000000
Tanzania 26/1000 x 60000000
KE 500000x30 = 1,500,000
TZ 60000X26 = 1,560,000
Sasa twende na facts zako

.. thou haya ni makisio tu na sio fact au actual 

Sikh nyingine tukiwa tunapambana tambua lengo la adui yakoTupo pamoja sana wapambanaji, ila jaribuni kusoma hizo points zangu kwa undani mtanielewa nini ninamaanisha, nilikua ninahenga hoja ya kuonyesha kwamba Tanzania kwa sasa hatuhitaji sana hizo barabara za njia nne huko mikoani kwasababu hatuna foleni katika mikoa mingi ukiachana na mikoa michache kutokana na "vehicle density" yetu kuwa ndogo ukilibganisha na Kenya kwasababu ya ukubwa wa nchi na idadi ya magari katika ya Kenya na Tanzania.
Kenya hawana magari mengi zaidi ya Tanzania! sasa jiulize kwanini mining firms kama Sandvik wana ofisi Mwanza! Au magari kwako ni private cars tu? Na hata ukiangalia mabasi, Tanzania ina safari nyingi za mabasi kuelekea mikoani ukilinganisha na Kenya! Again wacha kuropoka! Logic yako ni ya kishamba haina scientific back up! Ati hatuhitaji highways kwa vile nchi kubwa!Hahahaha, tatizo wengi mumedandia Gari kwa mbele. Lengo langu lilikua kujibu hoja ya yule "Variable" ambaye alikua anasifia Kenya kwa kujenga barabara nyingi za njia NNE, na kuikashifu Tanzania kwa kutojenga hizo barabara za njia nne matokeo yake akawa analamikia foleni.
Mimi nikasema kwamba huku Tanzania mahitaji ya hizo njia nne sio mengi ukilinganisha na Kenya kwasababu nchi yetu ni kubwa kwa hiyo ukichukua ratio ya idadi ya magari na kutafuta "Vehicles density" vs Kenya, utagundua kwamba Kenya wana Gari nyingi kuliko Tanzania, hivyo Kenya wanasumbuliwa zaidi na Traffic jam kuliko Tanzania. Umenipata?.
chriss kirubi ni watu wa serekalini na ww unajua wazi kua wezi wa kenya ni politician mbona liko wazi leo hushangai kenyata anamiliki ardhi ya kuweka wakenya million 20 kwao jambo la kawaida, alaf usifkiri labda matajiri wa tanzania hawana uwezo wa kununua helicopters la hasha hela watu wanazo lakini bado hawajaona umuhimuMuhimu ni hiyo Gari au private jets kuwa imesajiliwa Kenya. Lakini katika hili Mimi ninazungumzia wakenya kumiliki private jets na helcopters. Kumbuka kwamba helicopters nyingi zinazotumika hapa Tanzania zinakodishwa toka kwa wakenya?.
Helicopter iliyotumiwa na DEO Filikunjombe na kusababisha kifo chake ilikua ya Kalonzo Musyoka, Rutto anayo Private helicopters, Musalia Mudavad, Raila na wabunge wengi wa Kenya wanazo.
Upande wa Private jets; Chris Kirubi, na baadhi ya wakurugenzi kadhaa wa Kenya wanazo Private jets. Je kuna watanzania wangapi wenye private jets na Helicopters?
sasa kwann bakhresa anamiliki expensive boats pamoja na zakaria lakini kenya hakuna mambo hayo hilo pia hushangai na mbonaKaka mbona hutaki kujibu hoja zangu?, vipi wakenya watuzidi katika kumiliki Private jets na Helicopters lakini katika MAGARI unakataa?. Vipi watuzidi katika idadi ya viwanda, idadi kubwa ya wazungu, idadi kubwa ya UN employees, idadi kubwa ya embassies, idadi kubwa ya International companies ambavyo vyote hivyo vinanunua na kutumia idadi kubwa ya MAGARI, lakini unapinga Kenya kuwa na idadi kubwa ya MAGARI?, huo ujasiri wa kupinga unautoa wapi?
facts zinaonesha kenya vyombo vyote vya moto vimesajiliwa ikiwemo pikipiki na bajaj na magari kwa pamoja in 2018 walikua na 2.9mNaomba wewe uweke facts kama unazo. Huwezi kupata facts za idadi ya magari kkiurahisi kwasababu kila siku kuna MAGARI yanayoingia nchini na kuna ambayo yanatoka barabarani kwa sababu mbalimbali.
Ushahidi wa kimazingira yanaweza kutoa picha halisi, hiyo hapo horodha hapo juu inaonyesha Kenya ipo na Gari nyingi kuizidi Tanzania. Kama unaoushahidi tuwekee ili tulinganishe.
Pole sana Geza.Kenya hawana magari mengi zaidi ya tanzania! sasa jiulize kwanini mining firms kama Sandvik wana ofisi mwanza! Au magari kwako ni private cars tu? Na hata ukiangalia mabasi Tanzania ina safari nyingi za mabasi kuelekea mikoani ukilinganisha na Kenya! again wacha kuropoka! logic yako ni ya kishamba haina scientific back up! Ati hatuhitaji highways kwa vile nchi kubwa!