Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Evidence please, Cargo trucks zinazotoka Mombasa port ni nyingi sana kuliko zinazotoka Dar Port. Kenya wana Gari nyingi za UN na International embassies and International organizations nyingi kuliko Tanzania.

Utamaduni na tabia za wakenya ni kupenda maisha ya juu kuliko uwezo wao. Kila mbunge mmoja wa Kenya hakosi wastani wa MAGARI 5 na zaidi, Governor wastani wa magari saba na MCs Gari mbili.

Idadi ya magari anayomiliki Sonko peke yake inaweza kuwa sawa na jumla ya idadi ya MAGARI yakutumia (Private cars) anayomiki Mohamedi Dewji, Bakhresa na Rostam Azizi kwa pamoja.
Duh!! Nadhani haya unayoongea ni maneno tupu bila evidences.

Hebu tuambia fact ipi inayokufanya useme kenya wapo na magari mengi!?
Tupatie plate no zao mpya ili tuweze compare na za TZ.
Kwa upande wa TZ magari binafsi "D" imeisha tunaanza na "E"

Kama umesoma permutation math
A to D is 4.
Permutation kuna herifi 26 ondoa I na O
Tina herufi 0 to 9 ambazo ni 10
So 4x24x24x10x10x10 = 2,304,000.

Hazo private cars.

Hebu tunaomba usajili wa namba za kenya kwa sasa
 
Evidence please, Cargo trucks zinazotoka Mombasa port ni nyingi sana kuliko zinazotoka Dar Port. Kenya wana Gari nyingi za UN na International embassies and International organizations nyingi kuliko Tanzania.

Utamaduni na tabia za wakenya ni kupenda maisha ya juu kuliko uwezo wao. Kila mbunge mmoja wa Kenya hakosi wastani wa MAGARI 5 na zaidi, Governor wastani wa magari saba na MCs Gari mbili.

Idadi ya magari anayomiliki Sonko peke yake inaweza kuwa sawa na jumla ya idadi ya MAGARI yakutumia (Private cars) anayomiki Mohamedi Dewji, Bakhresa na Rostam Azizi kwa pamoja.
hamna kampuni yenye trucks nyingi zaidi ya METL EA!
 
hapana bro data zako haziko sahihi sasa ikiwa mtoto wa bakhresa yusf ana gari za kifahari zaidi ya 10 yeye pekeake achilia ndugu zake achilia baba yake, acha bro kuna watu wana magari hii nchi acha kabisa usiongee kabisa hayo maneno
 
Hivi inakuaje Kenya wanamiliki private helicopters nyingi kuliko Tanzania?, sasa iweje mnashangaa na kukataa kwamba wanamiliki Gari nyingi kuliko sisi?.

Kenya inaviwanda vingi kuliko TZ, Kenya ina population kubwa ya wazungu kuliko Tanzania, Kenya ina ofisi nyingi za Ubalozi kuliko Tanzania, Kenya ina ofisi nyingi za UN na wafanyakazi wengi wa UN kuliko Tanzania, Kenya bandari yao inapitisha mizigo mingi kuliko Tanzania, Kenya wana politicians wengi kuliko Tanzania kuanzia wabunge, magavana na MCAs wote hao wanamiliki MAGARI mengi sana.
 
Soko la kiwira kijijin uko kusini mwa tz ili hapa View attachment 1505812
Naoma nmacheza na karatina market the biggest in the region
images - 2020-07-13T225005.515~2.jpeg
images - 2020-07-13T225028.436.jpeg
images - 2020-07-13T225035.354.jpeg
 
Hivi inakuaje Kenya wanamiliki private helicopters nyingi kuliko Tanzania?, sasa iweje mnashangaa na kukataa kwamba wanamiliki Gari nyingi kuliko sisi?.

Kenya inaviwanda vingi kuliko TZ, Kenya ina population kubwa ya wazungu kuliko Tanzania, Kenya ina ofisi nyingi za Ubalozi kuliko Tanzania, Kenya ina ofisi nyingi za UN na wafanyakazi wengi wa UN kuliko Tanzania, Kenya bandari yao inapitisha mizigo mingi kuliko Tanzania, Kenya wana politicians wengi kuliko Tanzania kuanzia wabunge, magavana na MCAs wote hao wanamiliki MAGARI mengi sana.
Joto la jiwe achana na hz habari mana umeshindwa kutupatia evidence ni unaongea ya mdomoni km walivyokuwa wakiongea Wakenya wengi hapo mwanzo, so kwa heshima yako naomba uwachane na hz mambo tafadhali.
 
hamna kampuni yenye trucks nyingi zaidi ya METL EA!
Hatuzungumzii kampuni moja, Trucks zinazochukua mzigo toka bandari ya Mombasa pekee ni almost Mara mbili ya ile inayotoka Dar Port, kumbuka kwamba mizigo mingi ya Kenya inaenda Nairobi, wakati ya Tanzania inaishia hapa hapa Dar.

Viwanda vya Kenya ni vingi, UN employees, wanasiasa wa Kenya wanaweza kuwa na magari Mara 3 zaidi ya wanasiasa wa Tanzania.
 
Joto la jiwe achana na hz habari mana umeshindwa kutupatia evidence ni unaongea ya mdomoni km walivyokuwa wakiongea Wakenya wengi hapo mwanzo, so kwa heshima yako naomba uwachane na hz mambo tafadhali.
Ninatumia logic kwasababu hakuna evidence ya moja kwa moja inayoonyesha kwamba Tanzania inazidi Kenya kwa idadi ya MAGARI, hapa kinachotumika ni " ushahidi wa kimazingira na kutumia " rational thinking". Nitamshangaa mtu yeyote atakayekataa Kenya kuizidi Tanzania kwa idadi ya magari lakini anakubali Kenya kuizidi Tanzania kwa idadi ya Private helicopters, idadi kubwa ya population ya wazungu, idadi kubwa ya viwanda, idadi kubwa ya UN employees nk.
 
Hivi inakuaje Kenya wanamiliki private helicopters nyingi kuliko Tanzania?, sasa iweje mnashangaa na kukataa kwamba wanamiliki Gari nyingi kuliko sisi?.

Kenya inaviwanda vingi kuliko TZ, Kenya ina population kubwa ya wazungu kuliko Tanzania, Kenya ina ofisi nyingi za Ubalozi kuliko Tanzania, Kenya ina ofisi nyingi za UN na wafanyakazi wengi wa UN kuliko Tanzania, Kenya bandari yao inapitisha mizigo mingi kuliko Tanzania, Kenya wana politicians wengi kuliko Tanzania kuanzia wabunge, magavana na MCAs wote hao wanamiliki MAGARI mengi sana.
privete helicoptera nyingi zinamilikiwa na mashirika bro na mashirika mengi ni ya nje na magari kenya ni bei ghali sana, na kitu kingine viwanda vingi vimekufa e.g viwanda vya sukari vimekufa kenya, alaf kua na maofisi ya mashirika haina kwamba wananchi wanamiliki gari nyingi, bro maisha ya kenya ni magumu kias kwamba hata hao vijana ndoto za kutoka kimaisha ni mtihani

mbona huangalii suala la unemolyment kua 40% na bado inaendelea kupanda hii ni daliki kwamba viwanda vimekufa
 
Back
Top Bottom