Geza tangu lini Tanzania ikawa na magari mengi kushinda Kenya?na kila mwaka tuingiza double ya gari zenye mnaagiza nje?both new and oldKenya hawana magari mengi zaidi ya tanzania! sasa jiulize kwanini mining firms kama Sandvik wana ofisi mwanza! Au magari kwako ni private cars tu? Na hata ukiangalia mabasi Tanzania ina safari nyingi za mabasi kuelekea mikoani ukilinganisha na Kenya! again wacha kuropoka! logic yako ni ya kishamba haina scientific back up! Ati hatuhitaji highways kwa vile nchi kubwa!

hawa ulio leta as evidence wanaukakasi juu y numbers of cars in Tz....Befoward wamefel leta ushaid mwingin
Hahahaha, tatizo wengi mumedandia Gari kwa mbele. Lengo langu lilikua kujibu hoja ya yule "Variable" ambaye alikua anasifia Kenya kwa kujenga barabara nyingi za njia NNE, na kuikashifu Tanzania kwa kutojenga hizo barabara za njia nne matokeo yake akawa analamikia foleni.
Mimi nikasema kwamba huku Tanzania mahitaji ya hizo njia nne sio mengi ukilinganisha na Kenya kwasababu nchi yetu ni kubwa kwa hiyo ukichukua ratio ya idadi ya magari na kutafuta "Vehicles density" vs Kenya, utagundua kwamba Kenya wana Gari nyingi kuliko Tanzania, hivyo Kenya wanasumbuliwa zaidi na Traffic jam kuliko Tanzania. Umenipata?.
Asante sana. Akijibu vizuri hapa itakuwa vizuri.Joto hebu twende taratibu, tuachane na hizo gari za serikali na international org. Hebu twende tu kwenye daladala za Dar na Nai, pia msongamano wa private cars and mind you Dar ni kubwa mara mbili na nusu kwa Nai.
Daladala Dar ni nyingi mno, acha hizi zinazopita njia kuu tu; ushawahi fika mbagala mwisho au mbezi mwisho au gomz mwisho na kwingineko? ukaona nyomi la vipanya na coaster zinazoenda vitongoji vya pembeni? Mbagala mwisho peke ake ana vijistendi vidogo vinne vya kwenda pembezoni kwenye engle tofautitofauti. Yani tukikusanya tu daladala za dar zooote za route kubwa na ndogo, then tufanye the same kwa Nai trust me there will be a huge difference, Nai tunamwacha mbali mno.
Hivi unajua ubungo terminal peke ake ina hudumia bus za mkoani kiasi gani? Nairobi hata waroge, they cant beat the volume.
Hii difference kwenye public transport pekee inatosha kucover gap la hizo gari za UN and the likes.
Njoo kwenye private cars; Tanzania ina middle income population kubwa sana compared to Kenya, (refer the differnce of dollar millionaires), yani ni twice or more, so hata private cars hawatugusi.
Unless uje na tangible and vivid evidence, I will be the last person here to believe you
Katika hili Geza ulole unajidhalilisha sana, hivi unajua maana ya "vehicle density in relation to one kilometer of road?, sidhani kama unaelewa hiyo term, usishangae kuona kwamba Rwanda wanapata shida ya foleni zaidi kuliko Tanzania kama utachukua idadi ya magari yao na kugawanya kwa urefu wa barabara zao.Kenya hawana magari mengi zaidi ya tanzania! sasa jiulize kwanini mining firms kama Sandvik wana ofisi mwanza! Au magari kwako ni private cars tu? Na hata ukiangalia mabasi Tanzania ina safari nyingi za mabasi kuelekea mikoani ukilinganisha na Kenya! again wacha kuropoka! logic yako ni ya kishamba haina scientific back up! Ati hatuhitaji highways kwa vile nchi kubwa!
in top 10...
Katika hili Geza ulole unajidhalilisha sana, hivi unajua maana ya "vehicle density in relation to one kilometer of road?, sidhani kama unaelewa hiyo term, usishangae kuona kwamba Rwanda wanapata shida ya foleni zaidi kuliko Tanzania kama utachukua idadi ya magari yao na kugawanya kwa urefu wa barabara zao.
Ngoja nikuuuluze swali la msingi, wewe una ushaidi gani wa moja kwa moja unaoonyesha kwamba Tanzania ina idadi kubwa ya magari zaidi ya kutumia migodi na Zanzibar?, sioni popote pale ulipoweka " data inayoonyesha hivyo zaidi ya kutumia MIGODI.
Sasa linganisha idadi ya MIGODI na viwanda vya Kenya, kumbuka kwamba MIGODI zaidi wananunua mitambo sio magari. Hapa tunajenga hoja kuonyesha kwasababu hakuna data za moja kwa moja kama GDP.
Nnachojua ni kwamba Tz ililala sn hususani kwny mambo mengi hata haya ya takwimu, ilikuwa kawaida kusikia kenya ina watalii wengi EA, Kenya inaongoza kwa uuzaji wa tanzanite, oohh kenya inaongoza kwa uzalishaji wa Avocado, cc huku viongozi wetu wanashindana kupiga pesa za ufisadi tu wkt kenya ikisaidiwa na wazungu kurekebisha statistics, hata hii idadi ya mamilionea iliyotoka hv karibuni ingelikuwa ni Tz ile lazima ungelickia kenya inaongoza kwa millionaires EA, hata takwimu za mkonge zilizotoka juzi nsingeshangaa kuckia kenya inaongoza kuzalisha mkonge EA hyo ndiyo iliyokuwa Tz ya kizembe lkn co Tz hii ya Magu vitu vinawekwa hadharani kweupe, huwezi niambia kenya inapita Tz kwa idadi ya magari hakuna kitu kama hicho na hakiwezi kuwa, Tz gharama ya uingizaji wa magari ni cheaper than in Kenya hata kuna mkenya aliwahi kukubali hilo kwenye huu uzi humu, wacheni kabisa masihara Tz kuna gari nyng kuliko nchi yoyote ukanda huu.Joto hebu twende taratibu, tuachane na hizo gari za serikali na international org. Hebu twende tu kwenye daladala za Dar na Nai, pia msongamano wa private cars and mind you Dar ni kubwa mara mbili na nusu kwa Nai.
Daladala Dar ni nyingi mno, acha hizi zinazopita njia kuu tu; ushawahi fika mbagala mwisho au mbezi mwisho au gomz mwisho na kwingineko? ukaona nyomi la vipanya na coaster zinazoenda vitongoji vya pembeni? Mbagala mwisho peke ake ana vijistendi vidogo vinne vya kwenda pembezoni kwenye engle tofautitofauti. Yani tukikusanya tu daladala za dar zooote za route kubwa na ndogo, then tufanye the same kwa Nai trust me there will be a huge difference, Nai tunamwacha mbali mno.
Hivi unajua ubungo terminal peke ake ina hudumia bus za mkoani kiasi gani? Nairobi hata waroge, they cant beat the volume.
Hii difference kwenye public transport pekee inatosha kucover gap la hizo gari za UN and the likes.
Njoo kwenye private cars; Tanzania ina middle income population kubwa sana compared to Kenya, (refer the differnce of dollar millionaires), yani ni twice or more, so hata private cars hawatugusi.
Unless uje na tangible and vivid evidence, I will be the last person here to believe you
Ww simamia hapo kwenye density ntakuelewa lkn usiseme idadi km idadi, mana ni ukweli usiopingika kwamba Tz ina eneo kubwa mno zaidi ya kenya so tukiangalia density ni lazima wao wawe na density kubwa cz kanchi kadogo ukilinganisha na yetu.Katika hili Geza ulole unajidhalilisha sana, hivi unajua maana ya "vehicle density in relation to one kilometer of road?, sidhani kama unaelewa hiyo term, usishangae kuona kwamba Rwanda wanapata shida ya foleni zaidi kuliko Tanzania kama utachukua idadi ya magari yao na kugawanya kwa urefu wa barabara zao.
Ngoja nikuuuluze swali la msingi, wewe una ushaidi gani wa moja kwa moja unaoonyesha kwamba Tanzania ina idadi kubwa ya magari zaidi ya kutumia migodi na Zanzibar?, sioni popote pale ulipoweka " data inayoonyesha hivyo zaidi ya kutumia MIGODI.
Sasa linganisha idadi ya MIGODI na viwanda vya Kenya, kumbuka kwamba MIGODI zaidi wananunua mitambo sio magari. Hapa tunajenga hoja kuonyesha kwasababu hakuna data za moja kwa moja kama GDP.
Si mmeona vitakwimu ushuzi km hv, eti Tz ya 10 kwenye uzalishaji maziwain top 10...

Joto la jiwe amna kampuni inayotumia magari mengi kwa wakati kama mgodi na magari yake mengi ayakai muda mrefu barabarani yanabadilishwa mfano ggm .Katika hili Geza ulole unajidhalilisha sana, hivi unajua maana ya "vehicle density in relation to one kilometer of road?, sidhani kama unaelewa hiyo term, usishangae kuona kwamba Rwanda wanapata shida ya foleni zaidi kuliko Tanzania kama utachukua idadi ya magari yao na kugawanya kwa urefu wa barabara zao.
Ngoja nikuuuluze swali la msingi, wewe una ushaidi gani wa moja kwa moja unaoonyesha kwamba Tanzania ina idadi kubwa ya magari zaidi ya kutumia migodi na Zanzibar?, sioni popote pale ulipoweka " data inayoonyesha hivyo zaidi ya kutumia MIGODI.
Sasa linganisha idadi ya MIGODI na viwanda vya Kenya, kumbuka kwamba MIGODI zaidi wananunua mitambo sio magari. Hapa tunajenga hoja kuonyesha kwasababu hakuna data za moja kwa moja kama GDP.
Joto wachana na hii mada tafadhali.Katika hili Geza ulole unajidhalilisha sana, hivi unajua maana ya "vehicle density in relation to one kilometer of road?, sidhani kama unaelewa hiyo term, usishangae kuona kwamba Rwanda wanapata shida ya foleni zaidi kuliko Tanzania kama utachukua idadi ya magari yao na kugawanya kwa urefu wa barabara zao.
Ngoja nikuuuluze swali la msingi, wewe una ushaidi gani wa moja kwa moja unaoonyesha kwamba Tanzania ina idadi kubwa ya magari zaidi ya kutumia migodi na Zanzibar?, sioni popote pale ulipoweka " data inayoonyesha hivyo zaidi ya kutumia MIGODI.
Sasa linganisha idadi ya MIGODI na viwanda vya Kenya, kumbuka kwamba MIGODI zaidi wananunua mitambo sio magari. Hapa tunajenga hoja kuonyesha kwasababu hakuna data za moja kwa moja kama GDP.
Unajua asilimia kubwa maziwa ya tanzania ayakusanywi kwenye takwimu yanauzwa kienyeji ndio tunapotofautiana na wenzetu kwenye takwimu.Si mmeona vitakwimu ushuzi km hv, eti Tz ya 10 kwenye uzalishaji maziwa![]()
Ndo nkasema Tz ile ilikuwa ya kizembe sn, ila now naona tuko vzr kila idara.Unajua asilimia kubwa maziwa ya tanzania ayakusanywi kwenye takwimu yanauzwa kienyeji ndio tunapotofautiana na wenzetu kwenye takwimu.