Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mtu alisema Coco Beach wamejenga barabara hadi Beach, leo nimepita nimangalia kwa makini mpaka mwisho ilipoishia eneo walilojenga , sijaona beach imeguswa hata kidogo. Angalia Margin ya mwisho kwa upande wa Bahari.
Hata eneo lenye mchanga halijaguswa.

View attachment 1505640
View attachment 1505641
View attachment 1505642
View attachment 1505643
View attachment 1505644
View attachment 1505645


Na hapa ndio mwisho walipojenga

namkukumbuka, yule ni mpuuzi tu..
 
Si kweli leta facts!
Kwa kweli nilimshangaa sana na mimi. Propaganda za wakenya zimemchukua.
Apo kwenye magari apana mkuu kanchi kama kunya kenye miji yenye nafuu miwil haiwezbkuizidi Tz kwa numbers of cars never
Hii biashara ya idadi ya magari tulishaimaliza kitambo, nchi zote zina uwezo wa kuwa na idadi sawa za namba tofauti tofauti za magari.

Zote zina herufi 3 na namba 3, sawa na 26 x 26 x 26 x 10 x 10 x 10 ambayo ni 17,576,000 possibilities, kwa magari binafsi. kwa hiyo joto la jiwe kama wangekuwa na magari mengi wangekuwa na zaidi ya herufi/namba 3 kwenye plate number zao.
 
@mydaressalaam on IG
AD9C5CB9-73D7-432D-A22B-394C7DF2B026.jpeg
 
Si kweli leta facts! A mining country like Tanzania can not be beaten by Kenya! tembelea all the minings across the country uone the kind of vehicles, trucks n Caterpillars n bulldozers they have! Tembelea all the parks uone the kind of wagons they have, halafu useme kuna nchi gani EA inaweza kujitamba ina vehicles zaidi! wacha kuropoka! Even cargo trucks and buses!
Hata mm cjamuelewa mkuu joto la jiwe
 
Si kweli leta facts! A mining country like Tanzania can not be beaten by Kenya! tembelea all the minings across the country uone the kind of vehicles, trucks n Caterpillars n bulldozers they have! Tembelea all the parks uone the kind of wagons they have, halafu useme kuna nchi gani EA inaweza kujitamba ina vehicles zaidi! wacha kuropoka! Even cargo trucks and buses!
Evidence please, Cargo trucks zinazotoka Mombasa port ni nyingi sana kuliko zinazotoka Dar Port. Kenya wana Gari nyingi za UN na International embassies and International organizations nyingi kuliko Tanzania.

Utamaduni na tabia za wakenya ni kupenda maisha ya juu kuliko uwezo wao. Kila mbunge mmoja wa Kenya hakosi wastani wa MAGARI 5 na zaidi, Governor wastani wa magari saba na MCs Gari mbili.

Idadi ya magari anayomiliki Sonko peke yake inaweza kuwa sawa na jumla ya idadi ya MAGARI yakutumia (Private cars) anayomiki Mohamedi Dewji, Bakhresa na Rostam Azizi kwa pamoja.
 
Apo kwenye magari apana mkuu kanchi kama kunya kenye miji yenye nafuu miwil haiwezbkuizidi Tz kwa numbers of cars never
Mbona wana viwanda vingi kuliko sisi?, Kenya ni nchi inayomilikiwa na wageni wengi, wana uwezo mkubwa wa kumiliki magari , kumbuka Kenya kuna wafanyakazi wengi wa mashirika ya kimataifa, pia kuna ofisi nyingi za makampuni ya kimataifa, kuna population kubwa ya wazungu kuliko Tanzania, Fanya utafiti utaona uwezekano wa Kenya kuwa na Gari nyingi ni mkubwa, japo yanamilikiwa na wageni.
 
Kwa hiyo jibu fupi hilo jengo sio la sekta binafsi ...... najua unaweza kuwa na msukumo wa kisiasa katika majibu na mtazamo wako ....sio dhambi kila mmoja ana dini na mtazamo wake katika maisha ....isipokuwa facts haz badiliki.....naona kwa jibu lako kuna kitu kama JK era vs JPM era?! This very huge topic ....each era has postives and negatives.....however I can conclude JK era was beloved to the elites(Top government officials and business tycoons) who had acess to Govt’s cash in one way or the other and in turn they created this bubble economy , the economy expirienced this huge cash circulation on market which was not supported with actual production of goods and services because to large extent the cash in the circulation was ill gotten cash from public coffers/ public housing projects (here there were alot of corrution through these realestate deals making the final product very expensive for an end user/a customer ...most of finished houses/tall buildings are lying empty) as well as illegal deals like drugs/poaching eg tusker.

Under JK era public sector would only have dreamt to excute mega projects like the ones are being done now as it was largely bankrupt government not because there was no cash but because of its poor ability to collect and manages public Revenues/resources ....WHILE JPM era it’s a period as u can see yourself where public sector benefits more than a few individuals/elites ranging from top government officials to business tycoons.

There is no false cash circulation /bubble economy ...since the rooting of government cash , illegal deals and corruption has been sigifificantly reduced unlike JK’s these people rooted the cash from gtv coffers/made corrupt deals/illegal deals like drug/poaching and spent it like there is no tommorow .... in turn the situation created this false cash circulation on the street level. JMP era circulation is based on production of services and goods as well as legal deals which is the real economy.
Mkuu kama jama hakuelewi tena hapa basi...chuki zake...Nchi yetu inasonga tena kasi saaana.uwezi kusema JPM ni mbaya ukapata hata 30%watakaoamini...JPM ni Tanzania ya sasa.
 
Back
Top Bottom