Mimi pia sidhani kama Tanzania tunaweza tukaipita Kenya kwa idadi ya magari licha tuu ya Tanzania kuwa na eneo kubwa kuliko Kenya....
Kuna vitu vingine wala havihitaji ushabiki maandazi, yaani kila kitu Tanzania iipite Kenya tuu.....
Kenya wako ahead kwa vitu vingi against Tanzania sema tuu tukaze buti kutoka hapa tulipo tuwapite
Oya sikia. Uzi huu una miaka mitatu.
Na hiyo hoja ilishaletwa mika mingi sana.
Hiyo hoja ni ya Beforwad. Ni statistics za hiyo company. Yaani watu wanaoagiza magari kupitia Beforward.
Vile vilevhoja hiyo ilikuwa imejikita katika ratio.
So kama ratio ya kenya 30/1000
Then Tanzania ni 26/1000
zidisha kwa population
Kenya 30/1000 x 50000000
Tanzania 26/1000 x 60000000
KE 500000x30 = 1,500,000
TZ 60000X26 = 1,560,000
Kaka mbona hutaki kujibu hoja zangu?, vipi wakenya watuzidi katika kumiliki Private jets na Helicopters lakini katika MAGARI unakataa?. Vipi watuzidi katika idadi ya viwanda, idadi kubwa ya wazungu, idadi kubwa ya UN employees, idadi kubwa ya embassies, idadi kubwa ya International companies ambavyo vyote hivyo vinanunua na kutumia idadi kubwa ya MAGARI, lakini unapinga Kenya kuwa na idadi kubwa ya MAGARI?, huo ujasiri wa kupinga unautoa wapi?
Hii itatoa ratio sio wingi wa magari. Kenya kila watu 1000 watu 30 wana magari. Sasa tukisema India kila watu 1000 watu 7 tu wana magari unafikiri Kenya itakuwa na magari mengi kuliko India?
14Jul 2020
The Guardian Reporter
Dar es Salaam
The Guardian SBL beats Covid-19 odds to complete 30bn/- factory expansion
Despite challenges being posed by the novel coronavirus outbreak, Serengeti Breweries Limited has completed expansion of Dar es Salaam factory with a 10 million pounds (about 30bn/-) investment.
Engineers at SBL factory in Dar es Salaam pondering how to offload part of the brewing plant.
SBL’s Managing Director, Mark Ocitti said the move by the brewer has been backed by customers’ overwhelming demand for its beer brands with continuous increase in beer volumes hence necessitating the expansion its three breweries located in Kilimanjaro (Moshi) and Dar es Salaam (Temeke).
“We promised our customers that if volumes continued to grow, we would invest in additional production capacity within a couple of years and that’s what we are currently doing,” Ocitti said last week.
Giving an update of the massive expansion investment, Ocitti said constriction work at Moshi brewery is underway at a cost of 4.5 million pounds (13.5bn/-). The huge expansion is also in line with the government’s industrialization agenda in addition to SBL’s solid business standing and its confidence in the country’s current and future economic prospects.
The growth in business has also resulted into increased tax payments to the government with a total 132bn/- last year indicating 10 percent increase from 121bn/- paid in 2018. Ocitti added that the growth has also led to an increase in the direct and indirect employment with over 800 permanent employees.
Also benefiting from the brewer’s expansion drive are local farmers who cultivate barley, sorghum and maize which is used as raw materials for beer production. As of last year, SBL had contracted over 400 farmers across the country who sold the company around 17,000 metric tons of cereals accounting for about 70 percent of its total raw material needs for a year.
“Our ambition is to source up to 85 percent of raw materials required for beer production locally by 2022 hence providing more farmers with a reliable market to sell their commodities,” Ocitti noted.
Incorporated in 1988 as Associated Breweries, SBL is the second largest beer brewer in the domestic market with its beer brands accounting for over 25 percent share by volume. SBL has three operating plants in Dar es Salaam, Mwanza and Moshi.
Since the creation of SBL in 2002, the business has grown its portfolio of brands year on year. The majority stake acquisition by EABL/Diageo in 2010 has seen increased investment in international quality standards leading to greater job opportunities for the people of Tanzania.
SBL Brands include: Serengeti Premium Lager, Serengeti Lite, Pilsner Lager, Pilsner King, Tusker Lager, Tusker Lite, Kibo Gold, Guinness stout and Senator. The company is also home to world’s renowned spirits such as Johnnie Walker Whisky, Smirnoff Vodka, Gordon’s Gin, Captain Morgan Rum and Baileys Irish Cream.
Mimi pia sidhani kama Tanzania tunaweza tukaipita Kenya kwa idadi ya magari licha tuu ya Tanzania kuwa na eneo kubwa kuliko Kenya....
Kuna vitu vingine wala havihitaji ushabiki maandazi, yaani kila kitu Tanzania iipite Kenya tuu.....
Kenya wako ahead kwa vitu vingi against Tanzania sema tuu tukaze buti kutoka hapa tulipo tuwapite
hata katika NO za millionaires ilikiwa ni hivi,kuumbeee.
mimi ninachoamini tz hatuko makini katika data,hii inanipa wasi wasi hata katika swala zima la uchumi.inawezekana hali ni tofauti sana.
nairobi kwa eneo tu inaingia mara 2.5 kwa dsm,msongamano wa magari katika barabara zake si kugezo cha wingi wa magari,inafaa kufikiri kwa uhuru kidogo.
Hii itatoa ratio sio wingi wa magari. Kenya kila watu 1000 watu 30 wana magari. Sasa tukisema India kila watu 1000 watu 7 tu wana magari unafikiri Kenya itakuwa na magari mengi kuliko India?
Hivi unajua hatukuelewi!!
Lengo lako hasa nini labda!!
Yaani ww kama tupo wote Jeshini Ukaleta hizi story zako nakupa shaba
Acha kujivunjia Heshima basi
hata katika NO za millionaires ilikiwa ni hivi,kuumbeee.
mimi ninachoamini tz hatuko makini katika data,hii inanipa wasi wasi hata katika swala zima la uchumi.inawezekana hali ni tofauti sana.
nairobi kwa eneo tu inaingia mara 2.5 kwa dsm,msongamano wa magari katika barabara zake si kugezo cha wingi wa magari,inafaa kufikiri kwa uhuru kidogo.
Hii itatoa ratio sio wingi wa magari. Kenya kila watu 1000 watu 30 wana magari. Sasa tukisema India kila watu 1000 watu 7 tu wana magari unafikiri Kenya itakuwa na magari mengi kuliko India?
hakuna nilipoandika kuwa ratio kubwa maana yake ni kuwa una magari mengi.. nimeandika unaweza kufanya makisio tu ya haraka haraka.. chukua population ya kenya na tanzania fanya mahesabu yako ya kijumlajumla utapata jibu
Asilimia 70% ya magari Kenya ni takataka zinazo tembea ,pia upo uwezekano mkubwa tz tumezidi Kenya kwa magari zaidi ya 20% wakenya wengi wanaishi kwa slum hata chakula ni shida ,
Oya sikia. Uzi huu una miaka mitatu.
Na hiyo hoja ilishaletwa mika mingi sana.
Hiyo hoja ni ya Beforwad. Ni statistics za hiyo company. Yaani watu wanaoagiza magari kupitia Beforward.
Vile vilevhoja hiyo ilikuwa imejikita katika ratio.
So kama ratio ya kenya 30/1000
Then Tanzania ni 26/1000
zidisha kwa population
Kenya 30/1000 x 50000000
Tanzania 26/1000 x 60000000
KE 500000x30 = 1,500,000
TZ 60000X26 = 1,560,000
Oya sikia. Uzi huu una miaka mitatu.
Na hiyo hoja ilishaletwa mika mingi sana.
Hiyo hoja ni ya Beforwad. Ni statistics za hiyo company. Yaani watu wanaoagiza magari kupitia Beforward.
Vile vilevhoja hiyo ilikuwa imejikita katika ratio.
So kama ratio ya kenya 30/1000
Then Tanzania ni 26/1000
zidisha kwa population
Kenya 30/1000 x 50000000
Tanzania 26/1000 x 60000000
KE 500000x30 = 1,500,000
TZ 60000X26 = 1,560,000
Mimi pia sidhani kama Tanzania tunaweza tukaipita Kenya kwa idadi ya magari licha tuu ya Tanzania kuwa na eneo kubwa kuliko Kenya....
Kuna vitu vingine wala havihitaji ushabiki maandazi, yaani kila kitu Tanzania iipite Kenya tuu.....
Kenya wako ahead kwa vitu vingi against Tanzania sema tuu tukaze buti kutoka hapa tulipo tuwapite
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.