Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,879
- 103,745
Leta facts! hata Arusha kuna tour vans za kufa mtu!Hatuzungumzii kampuni moja, Trucks zinazochukua mzigo toka bandari ya Mombasa pekee ni almost Mara mbili ya ile inayotoka Dar Port, kumbuka kwamba mizigo mingi ya Kenya inaenda Nairobi, wakati ya Tanzania inaishia hapa hapa Dar.
Viwanda vya Kenya ni vingi, UN employees, wanasiasa wa Kenya wanaweza kuwa na magari Mara 3 zaidi ya wanasiasa wa Tanzania.
Map of Primefuels EA