Umemjibu vizuri mkuu. Na kwa hayo malalamiko yake nimeamini huyu ni mojawapo ya waliokua wanatelezea ganda la ndizi kwenye hizo sector zilivyokua zinajipangia sasa zimebanwa.Hiyo ni kutokana na ufujaji mkubwa wa pesa uliokua ukifanywa na wakurugenzi wa hizo taasisi, wengi walikua na uwezo wa kujipangia mishahara na matumizi ya anasa vile wapendavyo.
Ulisikia habari ya boards mbalimbali kufanya vikao vya boards Dubai badala ya Tanzania?, ulisikia kuhusu uwekezaji katika miradi isiyokua na tija ili muradi kuna 10%?, matokeo yake mashirika yalikua ni mzigo kwa Serikali kutegemea ruzuku ya Serikali kujiendesha?, sasa hivi hayo mashirika yote yameanza kujitegemea, hayapewi tena ruzuku, na mengi yaneanza kutoa gawio kwa Serikali na baadhi yaneanza kuwekeza katika viwanda, KILIMO na katika madini. Kati ya uwekezaji katika maeneo hayo na kujenga majumba wapi kuna tija zaidi?
Dah! Mtaalam yaani umeexpose nia ya huyu mkenya. Nimemuelewa vilivyoHuwezi kujenga miji yote kwa Mara moja, sasa hivi ni Dar na Dodoma, wakati huo huo barabara za kuunganisha mikoa na Wilaya zinaendelea, tukimaliza huko ni zamu ya Arusha na Mwanza. Kenya kamwe usiwasifie katika hili, priorities zao ni za ajabu sana, Kenya watu wanakufa kwa njaa kila mwaka, wanategemea Chakula cha msaada, lakini Serikali ipo busy kukopa mapesa mengi kujenga barabara za juu mijini, pesa ambazo zingetosha kuweka mifumo mizuri ya umwagiliaji maji na kuwakomboa wakulima na wafugaji kule Turkana.
Achana naye huyo anatafuta kiki. Sisi tuendelee na yetu.Tanga, Mtwara, Lindi, Shinyanga, Singida, Ruvuma, Kigoma, Mara, Lindi, na mikoa mingi mingi ukiacha Mbeya, Dar, Arusha na Mwanza, na sasa hivi Dodoma, hakuna kabisa tatizo la msongamano wa MAGARI.
Tanga kwa mfano, unaweza kukaa hata nusu saa na usione Gari lolote linapita City centre zaidi ya baiskeli na pikipiki, hali ni mbaya zaidi kwa Lindi na Mtwara.
Iringa wamejengewa barabara nne, lakini hakuna MAGARI yoyote yanayoitumia, labda ni chini ya 25% ya matumizi ya hii barabara.
Tunduma kuelekea mpanda, huko ndio usiseme, hata masaa mawili yanaweza kupita bila hata Gari moja kupita. Kaka lazima ukubali kwamba mipango ni matumizi, Tanzania kwa sasa ni Mimi michache sana yenye msongamano wa magari.
Kenya hawana mipango mizuri katika vipaumbele vya nchi. Kenya wanatatizo kubwa sana la njaa, maji na ardhi kwa wananchi wa kawaida, nilitegemea Serikali yao kuwekeza pesa nyingi katika hayo maeneo kabla ya kukimbilia katika barabara za njia NNE. Kwanza wafikishe barabara za lami nchi nzima, kuna maeneo mengi ya Kenya hakuna barabara kabisa, vipi wanaanza kufikiria njia NNE kabla ya kufikisha njia mbili?
Mkuu huyo fala wa kikenya tushakubaliana huwa hatumjibu hivyo muacheni tu ajifurahishe tunamjibu kwa vitendoHahahaha, hahahaha. Vichaa wameongezeka Tanzania, kweli Magufuli ametukamata pabaya sana.
Aise,mkuu,umeweka vitu wazi sana,ni kweli JK alikuwa na yake mazuri tu,ila,mabaya mengi kuliko ya JPM!Ndio maana hata uchaguzi wa mwaka huu wa awamu ya pili ya JPM,hutafanana na wa JK.Huyu jamaa yupo very desperate sana,anaujua ukweli,ni wa kumpuuza tu.Kwa hiyo jibu fupi hilo jengo sio la sekta binafsi ...... najua unaweza kuwa na msukumo wa kisiasa katika majibu na mtazamo wako ....sio dhambi kila mmoja ana dini na mtazamo wake katika maisha ....isipokuwa facts haz badiliki.....naona kwa jibu lako kuna kitu kama JK era vs JPM era?! This very huge topic ....each era has postives and negatives.....however I can conclude JK era was beloved to the elites(Top government officials and business tycoons) who had acess to Govt’s cash in one way or the other and in turn they created this bubble economy , the economy expirienced this huge cash circulation on market which was not supported with actual production of goods and services because to large extent the cash in the circulation was ill gotten cash from public coffers/ public housing projects (here there were alot of corrution through these realestate deals making the final product very expensive a customer ...most of finished houses/tall buildings are lying empty) as well as illegal deals like drugs/poaching eg tusker.
Under JK era public sector would only have dreamt to excute mega projects like the ones are being done now as it was largely bankrapt government not because there was no cash but because of its poor ability to collect and manages public Revenues/resources ....WHILE JPM era it’s a period as u can see yourself where public sector benefits more than a few individuals/elites ranging from top government officials to business tycoons.
There is no false cash circulation /bubble economy ...since the rooting of government cash , illegal deals and corrution has been sigifificantly reduced unlike JK’s these people rooted the cash from gtv coffers/made corrupt deals/from illegal deals like drug/poaching and spent it like there is no tommorow .... in turn the situation created this false cash circulation on the street level. JMP era circulation is based on production of services and goods as well as legal deals which is the real economy.
Yaani ingekuwa vizuri hata wtz tuliomo humu,tusim'quote'tumpuuze.anapost ujinga.Mkuu huyo fala wa kikenya tushakubaliana huwa hatumjibu hivyo muacheni tu ajifurahishe tunamjibu kwa vitendo
Hawezi kuelewa huyo ana chuki na Magu cz alitumbuliwa kwa uzembe wake [emoji3][emoji3]Kuna sehemu zingine zitahitaji pesa nyingi kutengeneza zaidi ya two lanes, mfano Kwa mwanza ile Musoma road huwa naona kule waliishia 3 lanes sijajua kama ni mazingira ndio yalipelekea maana upande mmoja kuna mlima na upande wa pili kuna bonge na mto just near the road, walichokifanya ni kuanza kujenga njia mbadala, sijajua kama 6 lanes zinawezekana kupita baadhi ya sehemu labda zipite juu, moja kwa moja swala la gharama litahusika,
Tayari kimeshawaka [emoji3][emoji3][emoji3]
No barakoa there, Wakenya mupoooo[emoji3][emoji3][emoji3]
Again no barakoa hahahahahaaaa
Yah huyo fala tu wakumpuuza.Yaani ingekuwa vizuri hata wtz tuliomo humu,tusim'quote'tumpuuze.anapost ujinga.
Tuliwaambia hayo mauchafu ni second hand lkn hii ndiyo tafsiri ya failed state.Hivi hizi ndege za Kenya zina nini,mbona zinaanguka hovyo?