Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

PDU Delivery (@PDUDelivery) Tweeted:
The new Kipevu Oil Terminal (KOT) is expected to breathe new life to a terminal that has existed for over 50 years. The KOT will have a capacity of 100,000 metric tonnes and handle over 4 vessels at a time. #GoKDelivers ^LC https://t.co/xx2C0eW92e ()
 
PDU Delivery (@PDUDelivery) Tweeted:
Facts & Figures: The Galana - Kulalu Irrigation Project is a 10,000 acre farm project whose project progress is now at 85% #GalanaModelFarm #GoKDelivers ^LC https://t.co/l59DfYDPXF ()

Yaani Ekari 10,000 unapiga kelele.
Tukipiga hesabu
Maximum ekari moja magunia 15 - 20 ya mpunga gunia moja kilo 60 - 70

Then ekari 10,000 ni wastani wa magunia 17
so kwa ekari moja ni sawa na kil0 17x65 = 1,105
(1,105x10,000)/1000 = 11,050 Tan

Sasa unatupigia kelele tani 11,050?

Tuchukulie wakenya wote 50M wale kila mmoja hizo kilo hata robo saa hazitawafaa.

Miradi hiyo ni ya kitoto sana.
 
๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3D72CE49-E655-4302-8542-FCF30694993B.jpeg
9A6B920D-1EC1-42A0-9EFB-12B5A869FDD7.jpeg
 
Kwa hiyo sio tena betchel international wanajenga hiyo expressway ni wachina? Ni kampuni gani la wachina wanajenga?

Najua betchel ndio walishinda project hiyo design and build..sasa kwa ground naona tofauti.
Why should that be an issue to you? I thought the main issue Tanzanians had, you included is that they wanted to see the billboard. Now that it's confirmed the expressway is under construction, shida yenu sasa ni mjenzi. How petty can you guys be?!
 
Jkia-James Gichuru Expressway ni mradi tofauti na Nairobi - Mombasa Expressway.

Jkia to James Gichuru inajengwa na China CRBC na hii ya kwenda Mombasa ni USA (betchel)
They are becoming petty as days go by ๐Ÿ˜‚ I have never read anywhere written that JKIA-James Gichuru is being built by Betchel
 
Back
Top Bottom