Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I know hawataamini hapa but that the way it should be
East Africa's Richest People 2020.Moi's Family Tops The List.
Huu ni ujinga na uongo kwasababu hakuna "source" yoyote yenye kuaminika, PILI wanasema Moi family is the richest lakini hawasemi utajiri wao ni kiasi gani.

Hata kama ni kweli, hio sio kitu cha kujisifu kwasababu Moi alikua ni mwanasiasa, hakuna mwanasiasa yeyote au mtumishi yoyote setikalini hasa rais wa nchi anayeweza kuwa tajiri bila kuwaibia wananchi au kucheza mchezo mchafu, Kenya hilo kwenu ni tatizo sana, bahati mbaya wananchi mbalifurahia na kuwasifia wanasiasa matajiri.
 
I know hawataamini hapa but that the way it should be
East Africa's Richest People 2020.Moi's Family Tops The List.

ni ujinga kufurahia kumuona mwanasiasa hasa kiongozi anaiba mali za umma na kuwa na mali nying .. wew ulitakiwa kuikemea lkn unakenua meno nje kufurahia ufisadi wa viongozi wenu,!
na ukiona mwanasiasa anaiba mali za umma, ujue kuna mamia wako nyuma yake nao wamefaidia, lkn wew maskin hujapata hata ngap wowote
 
Wanasema njaa itadouble kenya mwaka huu . Tatizo kumuiga mzungu kila jambo . Bahati mbaya wanaopata madhara ni wale wa kipato cha chini sio decision makers. Hadi inatia huruma
 
ni ujinga kufurahia kumuona mwanasiasa hasa kiongozi anaiba mali za umma na kuwa na mali nying .. wew ulitakiwa kuikemea lkn unakenua meno nje kufurahia ufisadi wa viongozi wenu,!
na ukiona mwanasiasa anaiba mali za umma, ujue kuna mamia wako nyuma yake nao wamefaidia, lkn wew maskin hujapata hata ngap wowote
kwao ni jambo la kawaida mbona 😂😂👇

Kwa hiyo sio tena betchel international wanajenga hiyo expressway ni wachina? Ni kampuni gani la wachina wanajenga?

Najua betchel ndio walishinda project hiyo design and build..sasa kwa ground naona tofauti.
At least wewe umekiri inajengwa. Mpashe Ichoboy basi aache ubishi za kishenzi
 
EcYuPx-WAAAGUAL.jpg
 
ni ujinga kufurahia kumuona mwanasiasa hasa kiongozi anaiba mali za umma na kuwa na mali nying .. wew ulitakiwa kuikemea lkn unakenua meno nje kufurahia ufisadi wa viongozi wenu,!
na ukiona mwanasiasa anaiba mali za umma, ujue kuna mamia wako nyuma yake nao wamefaidia, lkn wew maskin hujapata hata ngap wowote
blaza,hawa jamaa ukifikiri uwezo wao wa kufikiri ni sawa na simu ya android ya ram mb 15 mwaka huu.

badala ya kusikitika kaamua aje atuaringishie,meanwhile in tz familia zinazosifika kwa wizi hata unaweza shangaa kipi wameiba,maana wana maisha ya kawaida tu.
 
Back
Top Bottom