Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya wanahali mbaya sana kiuchumi kwa sasa..wafanyakazi wamepunguzwa kwenye mashirika mbali mbali na wengine wanalipwa nusu mshahara wakiwemo waalimu.

Makampuni mengi yanayoshirikiana na baadhi ya viongozi waliopo serikalini wana declare loss ili kupata tax exemption kwenye biashara zao hvyo mapato yameshuka mno kutokana na takwimu za KRA.

Bila fedha za Mabeberu kwa sasa, Kenya haiwezi tena kutembea maana mapato yameshuka tremendously na madeni yameiva, na mapendekezo ya maombi ya kusimamishiwa marejesho ya madeni ikiwemo China mpaka sasa hakuna majibu.
 
Nimekuambia mara ngapi kuwa hii project haina construction board? Ama kuna ingine unataka kutuekea?
yani project kama hio ikose construction board hvi munafanya watu wapumbavu humu ndani 😂😂😂
 
Back
Top Bottom