Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani kama unatumia mtandao wa Vodacom au tigo unapaswa kua na line moja ya Vodacom sio unakua na namba mbili za Vodacom. ..kama unanamba ingine ya Vodacom basi itakua kwa ajili ya biashara sio matumizi ya kawaida mf mpesa nk

Sasa ikitokea unaline mbili ndani ya mtandao mmoja hapo inabidi utoe taarifa kabla hawajakutafuta

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Sioni mantiki yoyote katika hili, ukweli ni kwamba watendaji wengi wa Serikali uwezo wao wa kufikiria sio mkubwa ndio sababu Mara kwa Mara Magufuli anatengua maamuzi yao, kama laini zote umezisajili kwa alama za vidole, tatizo liko wapi?
 
Wanasema wanapunguza wezi wa kimtandao

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Madini ghafi yatasafishiwa hapa hapa Tz kabla ya kusafirishwa nje...hivyo basi yakisha safishwa ubora utaongezeka pia mapato kuongezeka maradufu,

Pia hicho kiwanda kitazalisha ajira kwa Watanzania.
Nikweli badala ya kuza ghafi sasa itakuwa ni bidha kabisa manake dhamani itapanda n kizuri zaid ajira zitabaki nyumban...kwaiyo hata mchango wa madini kwenye GDP utaongezeka zaid ukilinganisha n wakat madin yalipo kuwa yanatolewa ghafi...ni big step...like it
 
EcE9xGwXsAEvdAe.jpg
tapatalk_1558603250047.jpeg
 
Madini ghafi yatasafishiwa hapa hapa Tz kabla ya kusafirishwa nje...hivyo basi yakisha safishwa ubora utaongezeka pia mapato kuongezeka maradufu,

Pia hicho kiwanda kitazalisha ajira kwa Watanzania.
Alafu mtu anakuja eti oohh wakati wa Mkapa na Jk per capita ilikuwa inaongezeka kwa rate kubwa kuliko huyu, wehu kweli hawa hzo per capita cc zilitusaidia nn zaidi ya kushuhudia ufisadi uliotapakaa, naomba waelewe kwamba cc hatutaki hzo cjui per capita cjui utumbo gn wabaki nao wenyewe but cc tunataka kuona tunajenga reli cc wenyewe, umeme haukatiki katiki, tunajenga flyovers kila pembe, tunanunua ndege za kutosha, tunajenga hospitali kila kona ya nchi, tunajenga masoko na stand za kisasa, tunajenga mabwawa ya umeme kwa kadri tunavyoweza, tunajenga barabara za kiwango cha juu na co zile barabara white zao, hayo mambo cjui per capita income cjui mautumbo gn wabaki nayo wenyewe.
 
Hao wajinga ni kuwapuuza tu wabaki na ujinga wao.
 
Wanasema wanapunguza wezi wa kimtandao

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Kivipi?, ndio sababu nikasema uwezo wao wa akili ni mdogo sana, ukiwauliza mtu akiwa na line mbili au Tatu za mtandao mmoja na zote amezisajili kwa alama za vidole zinahusikaje na wizi, kwasababu kila line inajitegemea na taarifa zake kamili, sasa watuambie kuna tofauti gani hapo na kuwa na line Tatu za mitandao tofauti?
 
Back
Top Bottom