Kwa hiyo kulingana na mawazo yako Tanzania ni heri kushinda Cuba na Croatia?

View attachment 1489707View attachment 1489708Umepata habar tarehe mosi mwezi wa saba WB wanaondoa kivuli cha ldc? Mtabaki na wimbo gani tena?Kwa hiyo kulingana na mawazo yako Tanzania ni heri kushinda Cuba na Croatia?View attachment 1489707View attachment 1489708
Habari za vijiweni au? Leta link ya world bank sio porojo Susan.Umepata habar tarehe mosi mwezi wa saba WB wanaondoa kivuli cha ldc? Mtabaki na wimbo gani tena?
hawaamini kitakachotokeaUmepata habar tarehe mosi mwezi wa saba WB wanaondoa kivuli cha ldc? Mtabaki na wimbo gani tena?
Ilikuwa ni Lazima,kasi yetu na UONGOZI Bora.Aise,niliona naibu waziri wa fedha akisema by next year tutakuwa tumeingia middle income kama nitakuwa sikumwelewa vibaya.
Sisi ni Matajiri.wakae na hela yaowanalenga masharti tu hakuna lolote
yap its flyover hata mm nimeonaSame thing like this Happening at Nyerere Kawawa Road Junction Keko area. Digging in Progress.
View attachment 1489984
hawa jamaa wako na speed
Susan bado hujapata link ya world bank kua Tanzania inaingia middle income?Umepata habar tarehe mosi mwezi wa saba WB wanaondoa kivuli cha ldc? Mtabaki na wimbo gani tena?

