unaona humu watu wapuuzi vile au sio ๐๐๐ au unataka kuaibishwa sasa hviHakuna eneo moja tu.
Hii ni jambo la nchi nzima. Concrete sasa hivi idadi either ni kubwa ama inaelekea kupita miti.
Kenya ata hio si habari.
View attachment 1493546View attachment 1493547
๐๐๐๐ 1963 ya kwenye kende
is that 1963???๐๐๐๐
Mbona amekimbia huu uzi wake!unaona humu watu wapuuzi vile au sio [emoji23][emoji23][emoji23] au unataka kuaibishwa sasa hvi
Mnategemea kuweka underground wkt Dodoma tayari ishapitishwa hyo [emoji3][emoji3]Hio ni new deal. Pilot ilianza kitambo. 2011 wakaifanya official.
Cha muhimu, LDC Tanzania nyuma ya Kenya kila wakati.
Sasa hivi tunaelekea kuweka power lines zingine underground. Konza city hio ishafanyika.
Hio mtaanza 2050.
unafkiri hawajui ukweli wanaujua vyema kabisa ๐๐๐๐
Kuna maswali yanahitaji majibu kwenye huo uzi lakini ameususa wakati ni uzi wake [emoji23][emoji23][emoji23]unafkiri hawajui ukweli wanaujua vyema kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ngisi kajikaanga na mafuta yake๐๐๐Kuna maswali yanahitaji majibu kwenye huo uzi lakini ameususa wakati ni uzi wake [emoji23][emoji23][emoji23]
Mnategemea kuweka underground wkt Dodoma tayari ishapitishwa hyo [emoji3][emoji3]
ahahaha unafkiri dodoma kuna mchezo hehe yani munahaha kweli na dodomaDodoma ni kijiji, sio kama jitu la jiji la Nairobi.
Na pia kupitishwa sio kufanyika.
ahahaha unafkiri dodoma kuna mchezo hehe yani munahaha kweli na dodoma
Vipi kusu stend bora, BRT na electric trains mtaweka lini ili tuwaige bila kusahau cable bridges....nadhan itakuwa 2050 sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] kunyans bhna shida tupuHio ni 'tuta' kama mengi kutoka Tanzania.
Haikuanza kama ilivyopangwa.
siku kenya itapata modern park kama hii mm nafunga acc jamii forumSi hii ndio CBD ya Dodoma.. ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Hii mkashindane na Thika town.
View attachment 1493575
hakuna uchawi wa ndumba ๐๐๐๐Si hii ndio CBD ya Dodoma.. ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Hii mkashindane na Thika town.
View attachment 1493575
Vipi kusu stend bora, BRT na electric trains mtaweka lini ili tuwaige bila kusahau cable bridges....nadhan itakuwa 2050 sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] kunyans bhna shida tupu
Mkipata fununu ya kujenga kitu kama hii, leta hapa tuone.
hakuna uchawi wa ndumba ๐๐๐๐