Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_1593769675.688758.jpg
 
afu mapato kidogo

Mass Tourism ni Majanga, Huwezi pata Hela ya maana. Imagine Wanaweza kuja Back packers Million moja ambao wengi ni Budget Tourists ( wengine wanabeba Vigodoro anakitandika popote panafaa) mpka hapo Hotel haipati chochote, Na serikali hata ile bed night levy wataisikia tu.

Lakini uki encourage vitu kama Eco Tourism, Na mambo ya Low density , High Quality , High Priced Tourist products kama Tanzania , hata wakija watalii Mia nne, unakuta kuna billion moja USD kwenye mapato.

Angalia tu rates za Hotel maeneo mbali mbali ndio utajua Tofauti.
 
Hapo kwenye tourism bado sehem nyingi saana ambazo hazijatangazwa,,,kwa mfano..ukiachilia mbali Northern Circuit ambayo ndio inapokea 99%ya watalii wote wanazuru nchini kuona wanyama na kukwea milima...Southern Circuit bado ni virgin,hapa nazungumzia Nyerere national park Africa's largest national park, Ruaha NP,UdizungwaNP,Kitulo NP..mikumiNP...bado sehemu za kitamaduni Kalenga Museum,kimondo cha Mbozi.,Tukiweka Effort hapa tuna uwezo wa ku double kwenye pato La utalii..Bado tuna sehemu Adhimu kuona Chipanzee kule Mahale na Gombe ...uko hakujaguswa.

Sure pia Kalambo falls, Katavi national park, lake Rukwa, Lake Tanganyika, Lake Ngosi n.k
 
Wakati uzi unaanza wazee wa msaada wa chakula walikuja kwa mbwembwe saiv hata mmoja haonekani
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
 
Back
Top Bottom