hakuna hospital inajengwa rukwa kwa sasa?N
Na sisi Rukwa tunataka hospital ya Rufaa ya mkoa yenye hadhi tumechoka na ahadi
Tuliwaambiawatu hawaamini kama ni dar
Kenyatta alikua busy kuwaibia WANANCHI mashamba na kuyafanya yake...huku akiwa support makaburu na mabeberu kuendelea kutawala nchi zilizosalia.....Historia ya kenya haivutii kamwe.
Hata hivi sasa raia wengi wa msumbiji hasa jimbo la kabdelgado hutibiwa hospital za mkoa wa mtwaraHii hadi mipakani msumbiji watakua wanaenda kutibiwa mtwara kama ilivo kwa wakenya wanavoenda Arusha na Kilmanjaro
Hiyo 6 siku-support fedha zilizopangwa kupanua JKCI zifanye kilichopangwa! Huko Moshi watafute budget nyingine!Sector zitazofanya vizuri Tz miaka 5 ijayo..Uchambuzi wangu binafsi
1.Transport- Kukamilika kwa SGR kutapunguza muda wa mizgo na watu kusafir...Kukamilika kwa western circuit roads ..itasaidia kukuza uchumi upande huo..kukamilka kwa port expansion na lake vessels za Tanganyika ,victoria na nyasa..itastimulate kushuka kwa cost na time..ya usafirishaji na kuboost exports
2..Agriculture..Horticulture sector inaendelea kuperform vizuri..na wamekuja na mpango wa kufika $1.8billion from 780mil currently..coming of 767 ya air Tz itakuwa boost kubwa...plus vijana wengi wanafanya holti sasa hivi...imporvement za Songwe airport cargo terminal itaongeza nguvu sana pia..kwa southern regions
Ujenzi wa maghala..itakuwa boost kwa storage na more exports..na pia itapunguza wastage of food...
Fish sector inafanya vizur..na mpango wa fish vessles na fish storage facilities uko mbioni as we speak...
Nyama..tunaona tanchoice kimeanza kufanya kazi we need more tan choices...plus karanga leather factory so far so good
Irrigation schemes ndo sector itayoiunua wengi in next 5yrs lets see
3.Mining...reforms zilizofanywa zitaendelea kuboost mapato..refinery moja imeisha mbili zinajengwa..smeleter mbili zinajengwa..value ya export itapanda...
Kuna madini ya Iron hayajaanza kuwa mined mchuchuma..hio ni project inaweza toa ajira hadi 30k direct +indirect..tunapotential kubwa bado...na serikali itapata kodi..nategenea next 5 yrs watapata investor ..
Gas...hii sijaona bado mskumo wa hali ya juuu...kwenye kujenga LNG plant..but lets see what future holds..but tht can be turnaround in our economy esp south regions ambapo bado poverty rate ni kubwa....project ya kuenga $1bn fetlizer plant i(by germans)nabidi isimamiwe kwa makini na ifanyike..itapunguza burden ya import na kuboost export na kazi zaid ya 4k direct
Bomba la mafuta la uganda-tanga i expect good things by 2025.inshallah litakuwa limeisha au linakarbia
4..Sports &Entertainment...kuna proposal ya kujenga auditorium..alisema mwakyembe...pia ujenzi wa uwanja wa dodoma utaanza ndani miaka mitano ijayo..tunaona imporvment za timu za ndani kuwa na viwanja vyao(Gwambina fc, Simba )..hii itazidi kuboresha ligi.. Tunaweza bid kuhost CHAN au CAF after 2023......we need Yanga and Simba to have atleast 30k stads by 2025
5..Tourism.hii ni moja ya strong sectors za Tz....kutakuwa na ongezeko la beach tourism miaka inayokuja..hasa kwa Tz Dar,Tanga..inabidi fukwe ziwe friendly zaid kwa international toursim...lake zone pia inakuwa afvertised sana sasa hivi (Mv rubondo) etc...western circuit itafikikika zaidi with new roads zinazojengwa.....western circuit is a sleeping giant right now..improvement ya ..Western circuit(Gombe,Mahale,Katavi,kitulo).
beach tourism(Dar,Tanga,Lindil
Lake zone toursim(Rubondo,)..
Cable cars at kilimanjaro..can see us going to $3.5bil and 3.5million toursit in 2025
6..Health sector and medical toursim..i expect to see more improvement kuna 90 billion tsh zilikuws planned for expansion of JKCI..we need to get another Big oncolgy centre in Moshi...or arusha..for..and Mbeya..to a reduce burden to people..and kuhudumia malawi, zambia etc
District hosptial big up na tutaona zinaendelezwa zaidi..miaka ijayo...
Zonal hospital..this are the health hearts..of the country..upcoming Tabora and Mtawara zonal(u/c) hospitals na zikiwa full equiped..itapunguza burden ya kusafir..
7..Electricty sihitaji kusema sana ..so far so good..JNHPP ikiisha 3800MW i expect tht we will be around 4000mW in next 5 years ..our demand will likely reach 3500 ..because of train,industries..and mines
8..Industires..still.behind ku attarct big investors we need to work on this..we need the likes of Samsung,Lg, Nissan setting plants in Tz...niliona mpango wa Scania ku revive assembly plant...it will be a good thing..and itasaida kuvuta wengine
.we really need to work on this..tho its not our strong sector yet...
Small and medium industires so far so good..
9..Science and Technology...
Kuna mpango wa WB kutupa loan(30bil tsh) kujenga best ICT academy in EA ..if it goes well itakuwa boost..
Bado hii sector ina lag...kwa vile priorities bado ziko kwenye bigger important projects..we will likely remain same..ukiachana na ICT academy....lets us see ..tho..we dont know what future holds..but we need to boost our research centers..and we need to adapt to new ways like blockchain tech..
10..
Sector zitazofanya vizuri Tz miaka 5 ijayo..Uchambuzi wangu binafsi

kakimbia kwa muda huyo ndivyo alivyo ukimbana anasusa baadaye anarudi 

Hahahaaa ata Morogoro ipo mbali sn kuliko hyo city apoanaforce, angalia hizi picha alizoweka... hazifananii kbsa kuwa majiji

Geza Ulole kama katibu mkuu wa thread hii naomba unisaidie tafadhal tuchukue hatua za kinidhamu kukabiliana na bakora maaana zimekua nyingi naomba tuzizuie kwa sasa kakajamani nikiwa kama mwenyekiti wa thread hii naombeni ndugu zangu bakora munazotandika kwa sasa musitishe kwani mumehatarisha thread hii, mpaka sasa kuna ndugu zetu hawana amani kabisa so please stop na atakaendelea ntamchukulia hatua za kinidhamu kama mwenyekiti
chairman
ichoboy
Watu wazito hao, kwa mwendo huu nategemea miaka 50 mbele Magu ataingia humo, but where is Kenyatta, angepaswa kuwa japo waiter hapo