Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kipindi cha corona vyombo vya habari nying vya kenya vilikuwa vinatoa updates za nchini kwetu lkn hili la middle income country wapo kimya, si media wala wale wenye blue ticks verification..
uganda tu ndo wanatoa pongezi

Mkuu,kama uliona post yangu ya Jana, hili nililisema kwamba,hakuna media ya KENYA itatangaza hili jambo,na sio kwamba hawajui.
 
Haiwezi tokea, afu kuna kitu watu wengi hawajajua, Magufuli ni tozi hapendi vitu low quality, yn ukimuangalia personality yake unaweza sema ni wale watu wasiopenda ubishoo lkn ni tofauti kabisa na alivyo ukisikia anajenga kitu ujue ni imara na chenye muonekano mzuri yn Magu tozi

kweli aisee mzee anaenda na wakati perpendicular
 
jamani nikiwa kama mwenyekiti wa thread hii naombeni ndugu zangu bakora munazotandika kwa sasa musitishe kwani mumehatarisha thread hii, mpaka sasa kuna ndugu zetu hawana amani kabisa so please stop na atakaendelea ntamchukulia hatua za kinidhamu kama mwenyekiti

chairman
ichoboy
 
Geza Ulole kama katibu mkuu wa thread hii naomba unisaidie tafadhal tuchukue hatua za kinidhamu kukabiliana na bakora maaana zimekua nyingi naomba tuzizuie kwa sasa kaka
Da hadi mwendawazimu komora096 kakimbia du ,sasa watz tupunguze fimbo mtanzania hatakaye kiuka tunampatia yeye Adhabu Kali ya kuishi kibera siku 3
 
Did you know when Nyerere Hydropower project is complete, Tanzania will be producing more electricity than Kenya, Rwanda, Uganda and Burundi Combined?

Did you know that when Tanzania SGR is complete, It will be the longest high speed railway in Africa?

Did you know that Tanzania is producing food every year than Kenya, Uganda,Rwanda, Burundi and south Sudan combined?

Did you know that in Tanzania, once all airports under construction in every region are complete, Tanzania will be first country in subsaharan region to have many airports with international standards.

Did you know that Tanzania has most advanced radars in East Africa?

Did you know that Tanzania has more access rate to electricity than any country in subsaharan countries?

Did you know that Tanzania has many varieties of minerals than any country in the world?

Did you know that Tanzania has biggest national natural parks in the world?

Did you know that Tanzania has many hospitals than Kenya,Rwanda and Burundi combined?

Did you know that the biggest clubs in Tanzania (Simba and Yanga) are paying more to their players than any club in east Africa?

Did you know that Tanzania has the most modern airport in East Africa?

Did you know that Tanzania is the only country in Africa where students from primary to secondary are not paying anything for their studies.

Did you know that Kariakoo to Posta is the biggest market area in Africa?

Source: PNU
 
Did you know that you are dreaming
 
Back
Top Bottom