Hao kunyaland wametudharau sana lakini hawajui tunamkimbiza mwizi kimyakimya
Museveni katangaza miji 7 kuwa majiji huko Uganda![]()
anaforce, angalia hizi picha alizoweka... hazifananii kbsa kuwa majiji
🤣 🤣 🤣 top manyota linapiga pafuHapo Nairobi national park wanyama wataathirika sana na huo moshi...
Kenya kwenye sector ya housing mko vizuri mnataka kushindana na china maana u go vertical,safi sana EAC Uganda,South Sudan na Burundi wajitahidi ili hii block siku za usoni ije kuwa kitovu cha maendeleo kwa Africa coz kuna resources ,brave people,soko na strategicPangani pia haijawachwa nyumaView attachment 1494506View attachment 1494507
anaforce, angalia hizi picha alizoweka... hazifananii kbsa kuwa majiji
Na sisi Rukwa tunataka hospital ya Rufaa ya mkoa yenye hadhi tumechoka na ahadiNice...nafurahi sana nkiona hivi..Ummy alisema wataanza Tabora..baada ya mtwara kuisha..my guess is hao hao NHC Watafanya..but kama pesa ipo kwanini wasianze sa hizi why wait Kumaliza ya Mtwara ...
Gari moshi
Kwa hiyo Uganda ina majiji 9 sasa,duu kazi ipoHiyo dual carriage way ya first frame inaitwa Nyerere Road 😎
Ni kama mtu alieweka lami ili apitishe mikokoteni, huko ni kumisuse standard gaugesGari moshi
Ni ujinga wa hali ya juuuNi kama mtu alieweka lami ili apitishe mikokoteni, huko ni kumisuse standard gauges