Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



noma!
IMG_1593685538.744325.jpg
IMG_1593685549.033464.jpg
IMG_1593685557.254351.jpg
IMG_1593685569.676808.jpg
IMG_1593685581.498656.jpg
IMG_1593685591.887047.jpg
 
kama uchimbwaji wa REM utaanza itakuwa poa sana.

Umuhimu wa rare earth metals kwenye electronics (neodymium kwenye HDD) na (Praseodymium kwenye jet engines) nauelewa sana na siyo huko tu hata kwenye magari madini hayo (cerium) yanatumika kwenye catalytic converters.

Nafahamu pia China inavyotumia madini hayo kama silaha kisiasa. Wanafanya kama Russia walivyofanya kwenye gas kipindi kile. Tukianza kuchimba na sisi tunaweza kuwa mabeberu...

Sababu ya kuongelea madini ya Lithium ni kutokana na mahitaji yake kuongezeka sana, huku kukiwa na supply ndogo.
🤣 🤣 Mabeberu au sio, na mbuzi jike wa kwanza kumpanda atakua kenya. kwenye upande wa sanaa tushakua mabeberu yao kitambo, ref: vera, tanasha, amani, n.k
 
Huwezi kuwa na umeme wa kutosha halafu ukatumia gari moshi, gari moshi ni kwa wale wenye shida ya upatikanaji umeme na matatizo mengine
Na pia dunia inapambana kuondoa uchafuzi wa hali ya hewa....hawa wajamaa wako nyuma .......tokea zamani nilikua namwambia mtu Kenya ni taifa linalopewa back up na Mabeberu na ni kwa sababu wanawafaidi kwenye nyanja zote,wamewekeza pakubwa na kinyonyaji,wanawatumia pia km platform ya kupenyezea Sabotage kwa nchi ambazo hazitaki ujinnga kama Tz na Somalia na hata zamani Ethiopia.ona sasa hawawezi kitu.unaenda nunua gari moshi la mwaka 1887.
 
wakenya wana roho ndogo sana, wanataka wao tu waendelee hawataki kusikia habari ya wengine, kufungwa kwa viwanda vingi vya tanzania sehemu kubwa ilichangiwa na hujuma za wakenya ili kujihakikishia soko la EAC, HOPE watanzania na serikali hatutalala tena ili hali hii ya hujuma isije ikajirudia tena hapo baadaye
Daah,kuna viwanda flani kule Arusha,,yaani ilikua ni hujuma za hawa makenge ....nina imani kwa miaka 20 ijayo tutakua tunatawala mpaka fikra .tutakua tunawakopesha hela za budjet.
 
Back
Top Bottom