Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NAKUMBUKA WALICHOTUFANYA MWAKA 1977, BAADA YA KUHAKIKISHA UGANDA NA TANZANIA WAMESHACHANGIA VYA KUTOSHA KWENYE BANDARI YA MOMBASA NA UWANJA WA NDEGE WA KENYATA MZEE KENYATA KAMSUPPORT AMINI NA EAC IKAVUNJIKA, NDEGE KARIBU ZOTE ZILIKUWA JKIA , WATANZANIA TULIFANIKIWA KUTOROSHA SIJUI NDEGE MOJA TU. KWA MTANZANIA MAKINI, TUNATAKIWA TUISHI KINAFIKI NA KENYA KAMA WANAVYOISHI NA SISI, SASA NI WIN WIN SITUATION UPENDO WETU NA KUJALI MAJIRANI WAPUMBAVU UMETUKOST SANA
 
cec4b548-f23a-4b8a-ae06-d268ece48e8c.jpg
 
Ker & Downey Africa Launches Tanzania Private Jet Safari
TOUR OPERATOR JUNE 30, 2020


Ker & Downey Africa
PHOTO: Great Migration, Serengeti National Park. (photo via Ker & Downey Africa)
WHY IT RATES: Tanzania is one of the first countries in Africa to reopen its borders to international travelers. —Codie Liermann, Associate Editor

Luxury travel company Ker & Downey Africa has launched a pioneering 11-day Tanzania Private Jet Safari in collaboration with esteemed charter company, ExecuJet. The itinerary is the second release of Ker & Downey Africa’s 'LuxVenture: The Wild Awaits,' a series of exclusive trips that cast a spotlight on private African journeys that has adapted the new trend of social distancing, naturally.


Crafted for the discerning traveler, this trip invites guests to experience the epitome of luxury while being whisked away to Tanzania and Zanzibar's most secluded regions in the comfort of their very own private jet.

Clients can enjoy the peace of mind of not having to wait for scheduled flights, baggage or deal with congested airports on their travels. In a world where social distancing has become the norm, Africa’s vast open spaces and seclusion comes naturally.

“We are excited to partner with a trusted private jet charter company, ExecuJet, on our 11-day Tanzania Private Jet Safari. Their fleet represents the latest in modern technology and offers the very best in onboard amenities and luxuries to clients,” says Lisa Nel, Product Manager of Ker & Downey Africa.

Tanzania is one of the first countries to reopen their borders to international travelers, and Ker & Downey Africa is eager to welcome guests back to the home of the Great Wildebeest Migration, taking their unique needs into consideration each step of the way.

“In an effort to better understand the post-COVID-19 travel trends, our team conducted a survey amongst our clients to gain a unique insight into their travel needs and expectations going forward. The results indicated a strong preference towards incorporating more private jet travel, exclusive-use safari villas, helicopter transfers and one-on-one experiences to our client’s travel itineraries in the future,“ says Jenieen van den Heever, Head of Operations at Ker & Downey Africa.

The 11-day Tanzania Private Jet Safari begins at one of the most prestigious lodges in Arusha, Legendary Lodge. Legendary Lodge’s Garden Cottages offer the utmost privacy with breathtaking views of the property's tranquil gardens and Mount Meru.

Next up travelers will be whisked away to the private safari house Entamanu Private on the rim of the Ngorongoro Crater. Guests can discover this UNESCO World Heritage Site on private game drives through the Crater, join a dedicated Maasai scout on a guided highland walk along the crater’s edge or visit the nearby Maasai boma to gain insights into the lives of the Maasai people.

This exclusive safari experience continues at one of the most luxurious camps in the central Serengeti, One Nature Nyaruswiga. Located in perfect isolation, One Nature Nyaruswiga offers front row seats to the annual great migration, and big game viewing promises to be a highlight of the trip.

The trip concludes on the idyllic shores of White Sand Luxury Villas & Spa in Zanzibar. Guests can soak up the sun on the white sand beaches of Zanzibar, embark on snorkeling or scuba diving excursions or enjoy a variety of water sports on offer at the resort. Experiences further afield include tours of Stone Town and the Spice Plantations on the island.

Find out more about Ker & Downey Africa’s premium trips by exploring their collection of bespoke itineraries on their website or be the first to hear about new trips launching within 'LuxVenture: The Wild Awaits’ by signing up for Ker & Downey Africa's newsletter here.

SOURCE: Ker & Downey Africa press release.
 
Yaani itakapofika 2023 hapo, tutakapokuwa tumekamilisha miradi hii inayoendela sasa, GDP itaanza kupaa kwa kasi sana na itabidi economy rebasing ifanyike haraka.

Pia Tz tunakiasi kikubwa cha Li na kutokana na mahitaji makubwa ya madini hayo duniani, vifaa vingi portable vya umeme kwa sasa vinatumia Li+ batteries, tutatengeneza pesa ndefu sana. Kwa umeme tutakao kuwa nao, tunaweza kuanza kuchima na kuchakata Li.

Tunashukuru awamu hii kwa kuweka sheria nzuri za madini. Tanzania ni Tajiri sana, aisee.
Hapo Iron haijaanza kuguswa hata ..tukianza kuchimba itapunguza sana import za Chuma ..na tutaanza ku export sasa..
 
Sector zitazofanya vizuri Tz miaka 5 ijayo..Uchambuzi wangu binafsi

1.Transport- Kukamilika kwa SGR kutapunguza muda wa mizgo na watu kusafir...Kukamilika kwa western circuit roads ..itasaidia kukuza uchumi upande huo..kukamilka kwa port expansion na lake vessels za Tanganyika ,victoria na nyasa..itastimulate kushuka kwa cost na time..ya usafirishaji na kuboost exports

2..Agriculture..Horticulture sector inaendelea kuperform vizuri..na wamekuja na mpango wa kufika $1.8billion from 780mil currently..coming of 767 ya air Tz itakuwa boost kubwa...plus vijana wengi wanafanya holti sasa hivi...imporvement za Songwe airport cargo terminal itaongeza nguvu sana pia..kwa southern regions

Ujenzi wa maghala..itakuwa boost kwa storage na more exports..na pia itapunguza wastage of food...

Fish sector inafanya vizur..na mpango wa fish vessles na fish storage facilities uko mbioni as we speak...

Nyama..tunaona tanchoice kimeanza kufanya kazi we need more tan choices...plus karanga leather factory so far so good

Irrigation schemes ndo sector itayoiunua wengi in next 5yrs lets see

3.Mining...reforms zilizofanywa zitaendelea kuboost mapato..refinery moja imeisha mbili zinajengwa..smeleter mbili zinajengwa..value ya export itapanda...
Kuna madini ya Iron hayajaanza kuwa mined mchuchuma..hio ni project inaweza toa ajira hadi 30k direct +indirect..tunapotential kubwa bado...na serikali itapata kodi..nategenea next 5 yrs watapata investor ..

Gas...hii sijaona bado mskumo wa hali ya juuu...kwenye kujenga LNG plant..but lets see what future holds..but tht can be turnaround in our economy esp south regions ambapo bado poverty rate ni kubwa....project ya kuenga $1bn fetlizer plant i(by germans)nabidi isimamiwe kwa makini na ifanyike..itapunguza burden ya import na kuboost export na kazi zaid ya 4k direct

Bomba la mafuta la uganda-tanga i expect good things by 2025.inshallah litakuwa limeisha au linakarbia

4..Sports &Entertainment...kuna proposal ya kujenga auditorium..alisema mwakyembe...pia ujenzi wa uwanja wa dodoma utaanza ndani miaka mitano ijayo..tunaona imporvment za timu za ndani kuwa na viwanja vyao(Gwambina fc, Simba )..hii itazidi kuboresha ligi.. Tunaweza bid kuhost CHAN au CAF after 2023......we need Yanga and Simba to have atleast 30k stads by 2025

5..Tourism.hii ni moja ya strong sectors za Tz....kutakuwa na ongezeko la beach tourism miaka inayokuja..hasa kwa Tz Dar,Tanga..inabidi fukwe ziwe friendly zaid kwa international toursim...lake zone pia inakuwa afvertised sana sasa hivi (Mv rubondo) etc...western circuit itafikikika zaidi with new roads zinazojengwa.....western circuit is a sleeping giant right now..improvement ya ..Western circuit(Gombe,Mahale,Katavi,kitulo).
beach tourism(Dar,Tanga,Lindil
Lake zone toursim(Rubondo,)..
Cable cars at kilimanjaro..can see us going to $3.5bil and 3.5million toursit in 2025

6..Health sector and medical toursim..i expect to see more improvement kuna 90 billion tsh zilikuws planned for expansion of JKCI..we need to get another Big oncolgy centre in Moshi...or arusha..for..and Mbeya..to a reduce burden to people..and kuhudumia malawi, zambia etc
District hosptial big up na tutaona zinaendelezwa zaidi..miaka ijayo...

Zonal hospital..this are the health hearts..of the country..upcoming Tabora and Mtawara zonal(u/c) hospitals na zikiwa full equiped..itapunguza burden ya kusafir..

7..Electricty sihitaji kusema sana ..so far so good..JNHPP ikiisha 3800MW i expect tht we will be around 4000mW in next 5 years ..our demand will likely reach 3500 ..because of train,industries..and mines

8..Industires..still.behind ku attarct big investors we need to work on this..we need the likes of Samsung,Lg, Nissan setting plants in Tz...niliona mpango wa Scania ku revive assembly plant...it will be a good thing..and itasaida kuvuta wengine
.we really need to work on this..tho its not our strong sector yet...

Small and medium industires so far so good..

9..Science and Technology...
Kuna mpango wa WB kutupa loan(30bil tsh) kujenga best ICT academy in EA ..if it goes well itakuwa boost..

Bado hii sector ina lag...kwa vile priorities bado ziko kwenye bigger important projects..we will likely remain same..ukiachana na ICT academy....lets us see ..tho..we dont know what future holds..but we need to boost our research centers..and we need to adapt to new ways like blockchain tech..

10..
 
Back
Top Bottom