1. REA - umeme vijijin
2. Nyerere Power Plant
3. SGR
4. Dar, Tanga, Mtwara Ports
5. Minerals
6. EACOP - bomba la mafuta kutoka Uganda
7. Viwanda
8. you can add..
vitapaisha sana uchumi wetu na kuwatimulia vumbi hawa majirani kuelekea kuwa Upper Middle Income Country
Vingine ni
10..Agriculture ..holticulture ina potential ya kutupa ..$2bn kwa mwaka in 5 yrs..
Fishing sector hata $500mils of export...
Traditional export..ya Cofee,Tea, cotton iko chini na bado ni mazao yanalimwa vizuri..
coffee ni largest export kwa UG ..tea kwa KE..we need to learn something from our neighbors of they can on coffee and tea we can pia..sisal inabidi irudi tulikuwa biggest exporter sometime in the world,,cotton na yenyewe..as i speak cotton,sisal na cofee vinafanyiwa kazi..bado kuna potential kubwa kwenye korosho..
Tumeanza kujenga maghala makubwa hii itasaidia kwenye utunzaji na uuzaji wa chakula
AGRICULTURE ALONE..Can be enough to take us to higher levels ..it is the most potential sector in Tz
11..Tourism bado Tz inapotential kubwa sana...we need to be focused as i said earlier...international beach, yani Zanzibar we should have 3 zanzibars...mafia should be next zanzibar,..tuna cost kubwa ya Lindi,Mtwara...
Western circuit..na Southern regions...plus lake zones
Tourism inachangia 17% ya GdP ya Tz kumbuka..its our strong sector we need to be all out as we are currently but we need more and more..
Medical tourism ..tumeona inawezekana..we need more special centers if we are focused on it we can..JKCI can be more , MOI, Ocean road we can build on what we have already....we should spend money on educating and exapnding this facilities .i know its done but we can do more....lets say spending $200mil in 2-3 years expanding this centres and Training specialists..lazima utaona output yani LAZIMA
12..Jambo lingine kuongezea watu salary hii huwa inaboost consumer spending...na huongeza GDP the more money people hv the more the development they can bring..lakini pia kuongeza uwezo wa domestic investment hence more tax..but more of this ni kufanya mazingra ya uwekezaji yawe mazuri ili ajira ziwe nyingi...hapo ndo watu husafiri...na biashara huwa nzuri zaidi
13.