jiwe jeusi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2012
- 863
- 850
This is the bullet on head kwa jirani.. Ikikamilika navyowajua lazima waandamane kwa serikali yao aisee






mambo yapi yakuvaa bikini kichwani😂😂Zamani walikua wanaomba waonyeshwe hata kipande cha kilometer kadhaa, siku hizi wanaona hadi nyaya za umeme na Tunnel zingine tushatoboa, wamehamia kweli asilimia.
Wanaipenda sana asilimia 70, ngoja iwasaidie kupunguza hasira kabla ya mambo kama alivyosema mkuu Geza pale Juu.![]()
wengine washaanza kukimbia hii thread na mapema washaona moto mbele😂😂😂This is the bullet on head kwa jirani.. Ikikamilika navyowajua lazima waandamane kwa serikali yao aisee![]()
wengine washaanza kukimbia hii thread na mapema washaona moto mbele![]()
wengine walichana braa za wake zao😂😂watavaa kama barakoa.
Walishaanza kuvaa.watavaa kama barakoa.
Heheheheheeee wamebaki kutaja taja 70% na kupunguza urefu wa reli yetu kutoka Dar to Moro, hawapendi kusikia ni 300kmZamani walikua wanaomba waonyeshwe hata kipande cha kilometer kadhaa, siku hizi wanaona hadi nyaya za umeme na Tunnel zingine tushatoboa, wamehamia kweli asilimia.
Wanaipenda sana asilimia 70, ngoja iwasaidie kupunguza hasira kabla ya mambo kama alivyosema mkuu Geza pale Juu.![]()



Yn wamepungua sana, tulisema hii battle itapoteza uhalisia wakabishawengine washaanza kukimbia hii thread na mapema washaona moto mbele![]()


Ardhi yetu ni Tunu yetu,kamwe haitakaliwa na Mgeni,,....Tunajua kiu ya wale waliovunjaga EAC ya zamani,na sasa wanatamani tufanye Shirikisho ili wafaidi Ardhi yetu....watakesha!mambo yameiva
Ni kama hawaelewi vile...
Tunaongoza mbona iko wazi.Mkuu ngoja kwanza tuingie Middle Income kwa kishindo then Wakenya wote watakuwa washajua kwamba Tz ni baba lao ukanda huu.
Ile SGR ya jirani muda si mrefu itabadilika rangi na kuwa nyeusi tiii kama masizi kutokana na diesel na moshi wakti hii SGR yetu ya umeme itaendelea kumeremeta kwa muda mrefu sana. 😀 😀 😀 😀Hiyo ndo SGR halisi sio kama ya kwao Dizel mwanzo mwisho Waone vizuri hizo nyayaView attachment 1491892