Tz_one
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 3,063
- 8,227
Ile ya Mbezi itakuwa ni noma alfu ..kulikuwa na pla ya Dar kuwa na Stand 3 kubwa za mabasiWakenya oneni Middle Income tulipofika, komora096 angalia bus stand zetu zilivyo hata JKIA haigusi, kuna nyingine funika bovu ya mbezi soon tutaizindua [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116]
1.Mbezi kwa ajili ya Route ya Mbeya na Mwanza na mikoa inayopitiwa na hayo mabasi
2.Boko/Bunju-- Kwa ajili ya Bagamoyo,Tanga Kilimajaro,Arusha
3.Mwandege-Kama sijakosea..Kwa mabasi ya-Lindi,Mtwara, Rufiji..etc..
ili kupunguza msongamano kwenda Stendi moja ya Mbezi
Nasuburi Pia Stendi ya Moshi nayo nimeona ni noma...sijajua plan za Arusha sijaona wameanza kujenga ,,Mwanza nao wanasuasua