Hawezi kuacha huyo domo lake linaprint lugha chafu elfu 7 kila baada ya sekunde.Umetoroka toka gerezani sio?, karibu tena kijiweni, ila uwache matusi.
ukipata link tag me 😂😂😂😂 ctaki upate mawazoBwahahaa!!mbna unashindwa kumeza
Last year 75% 2020 june 80%![]()
Na kwa kuwajuza tu ni kwamba hyo stadium japo itakuwa ndogo lkn huo na ule wa Azam ni miongoni mwa football stadium chache za EA na Africa kwa ujumla, viwanja vingi hapa Afrika huwa ni Olympic stadiums zinazoweza ku accommodate michezo yote but hicho ni football stadium.
FantasticNa kwa kuwajuza tu ni kwamba hyo stadium japo itakuwa ndogo lkn itakuwa ni miongoni mwa football stadium chache za EA na Africa kwa ujumla, viwanja vingi huwa ni Olympic stadiums zinazoweza ku accommodate michezo yote but hicho ni football stadium.
Kenya get ready!
Kindi hiki cha 2020 - 2025kipindi kipi hicho 2020-2025 ama? Mbona hajaelezea vizuri?




