The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Hebu nitag nikaucheki huo uzi mkuuYani mpkaaa raha dadeki....kenge moja wa kikenya amesha fungulia uzi....![]()


Hebu nitag nikaucheki huo uzi mkuuYani mpkaaa raha dadeki....kenge moja wa kikenya amesha fungulia uzi....![]()


HahahahahhahahaMombasa ina milionea wengi kuliko Tanzania Nzima.



wamrjua hawajuu...Walikuja kupata surprise ya maisha yao. 😂😂🤣🤣🤣Mombasa ina milionea wengi kuliko Tanzania Nzima.
Baada ya miaka mitano tena swala la Afya ...Africa sidhani kama tutakua na mpinzani tena.
Baada ya miaka mitano tena swala la Afya ...Africa sidhani kama tutakua na mpinzani tena.

..maana zitakuwa nyingi mnoo....itakuwa kama New York unakuta madaktari wanasoma magazeti hakuna wagonjwaDar port expansionHuu mwaka tumebakiza kukamilisha miradi 3 mikubwa,
_sgr phase one
_ubungo interchange
_mbezi bus terminal
Woi dyo mnafika middle income, poleni,Kenya sasa inaelekea upper middle incomenchi ambazo zitabadilishwa economic status zake.. Tanzania is now officially a Middle Income Country
View attachment 1492986
Nilitamani Sana Ttcl wachukue hata mkopo au wajoin forces na Airtel ku acquire ethiopia telecom ni bonge la investment na ina bonge la potential
Bhati Airtel inaweza kuingia yenyewe! That market is too risky my friend!Nilitamani Sana Ttcl wachukue hata mkopo au wajoin forces na Airtel ku acquire ethiopia telecom ni bonge la investment na ina bonge la potential
Walikuja kupata surprise ya maisha yao.![]()






safi Kabisa. Kuna jamaa atabadilisha Profile Pic soon .Poleni wapoko kwa kufika lower middle income,Kenya tunaelekea upper middle income kama Indonesia tkifikisha 4,000pp tuko hapo 3,868nchi ambazo zitabadilishwa economic status zake.. Tanzania is now officially a Middle Income Country
View attachment 1492986
inaelekea wapi??? hahaha mukifika hapo munitag😂😂😂Woi dyo mnafika middle income, poleni,Kenya sasa inaelekea upper middle income
munaelekea lini 😂😂😂 siku mutaingia nitag mmPoleni wapoko kwa kufika lower middle income,Kenya tunaelekea upper middle income kama Indonesia tkifikisha 4,000pp tuko hapo 3,868
kale ka wimbo ka LDC kameisha sasa 😂😂Poleni wapoko kwa kufika lower middle income,Kenya tunaelekea upper middle income kama Indonesia tkifikisha 4,000pp tuko hapo 3,868