Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This Monday, June 29, both primary and secondary schools have resumed learning across the country.

International organizations in Tanzania have since addressed the COVID-19 situation in Tanzania.

Plan International Tanzania, which is part of a global child-centered development organization working in 70 countries throughout the world has confirmed COVID-19 cases have reduced in Tanzania.


Hao ni plan international, najua habari kama hii inawauma wakenya sana.
 
usisahau kuwaonyesha ..nairobi expressway inayojengwa sai along mombasa road
 

Attachments

  • nairobi express 1.jpg
    nairobi express 1.jpg
    53.3 KB · Views: 4
  • ex 2.jpg
    ex 2.jpg
    18.2 KB · Views: 5
Park road 228 units tayari zimeshakamilika na sasa wananchi waatanza kukabithiwa huku tukingoja hizo units zingine 1000 zikamilike
 
Pia kuna site ya Pangani ambayo iko na 1500 units yani eight blocks with eighteen floors each. Jevanjee site Ngara iko 1800 units pia na site imewekwa fence ready for construction
 



Duh, Bado tuna Safari Ndefu sana, Imagine hii ni CBD yenye tallest Tower in the Region. Yale yale Developer kafanya yake ila anayehusika na miundombinu (Gvt) kazingua .

Hizi ndio sura za CBD za majiji ya Africa


Hivi vibanda sijui ni mitaji wa walinzi?

View attachment 1492109
View attachment 1492110
View attachment 1492111


Imagine Hapa ndio uso ( Mbele ) ya Tower mbili muhimu KCB tower na Britam Tower .

View attachment 1492112
View attachment 1492113
Usipanic....ndio sasa barabara zinajengwa uko upper hill, ngara, westie na kwingine tu
 


kuna comment hapo kuna mtu anasema bado kenya is more advanced state kuliko wengine in EA, hii inaonyesha kuwa kuna wakenya wengi bado wanadhan kenya ni advanced kuliko tanzania, bahati nzuri si sisi tu watanzania tutawaprove them wrong.. ni mitandao hiihii ndo itawaprove wrong.. shida ipo kwa wale wasiotumia mitandao.. ila hizi habari zitawafikia tu punde si punde kupitia tv na redio zao hukohuko nchi kwao
huyu ndo anajua ukweli
 
Back
Top Bottom